Project gani ya IT naweza kufanya kwa mtaji wa 20M - 50M

Ultimate

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
713
1,736
Hello wakuu,

Nilikua naomba kujua nikiwa na mtaji wa 20M mpaka 50M naweza kuanzisha tech startup?, pia idea gani naweza kuifanya kwa mtaji huo kwenye sector za usafiri (kama bolt au uber vile), sector ya afya, AI, cybersecurity, ecommerce, realestate, fashion etc
 
Kwa experience yangu kwa huo mtaji wako inaweza ikawa ivi ( ikiwa idea yako ita base kwenye ku code ios na android app pamaja na website kwa ajili ya vitu kama api)

Timeline:

Kwenye IOS na Android
- ita include app design, implementation na programming

Kwenye website
- ita include technical specification [ hapa mostly ni uchaguzi wa programming language, na backend pamoja frontend framework. Pia uchazuzi wa storage labda amazon au microsoft]. Labda kuna third party api utatumia etc

Team:
Hapi unaweza ukatoa ajira kwa
1 (mtu mmoja wa) : UI/UX designed
1-2 (mtu mmoja au wawili) : android development
1-2 (mtu mmoja au wawili) : ios development
1 (mtu mmoja wa) : kwenye website backend
1 (mtu mmoja wa) : quality check, wa kutest izo app na website kabla hazijawa public
1 (mtu mmoja wa) : project manager
(unaweza ukawa wewe tu hapa, ukawasimamia hao vijana)

Project flow.
Hapa inategemea na jinsi iyo idea itavyokuwa complex kwenye development.

1. kwenye planing stage
-hapa mnaweza ku spend wiki 1 hadi 2

2. Kwenye design stage
- hapa mnaweza kutumia 2 hadi 3 ivi

3. Kwenye development
-hapa mnaweza tumia wiki 12 - 15

4. Kwenye testing
-kama wiki 1 au 2 zinayosha

5. Release (demo)
- wiki itatatosha kabisa, demo kwa watu nje ya office yetu ili mpate maoni ya system

6. Post Release
- mkisha jirizisha mnaweza ku zima demo mkaendelea na biashara

Kwa kumalizia kama nilivo sema idea complexity ndo inaweza ku extend mda wa development au kuufupisha

Simple app inaweza chukua miezi 2

Medium app inaweza chukua miezi 3 - 5

Kama ni complex sana na IT wako ndo wale wa ku google na youtube inaweza kuchukua miezi 6 hadi 18 na mtaji unaweza ukakata

Kwa idea unazoweza kufanya kwa haraka haraka
1. Labda utenfeneze ecommerce kwa ajili ya vyuo vikuu. Labda mm nasoma mzumbe nikipost product zangu wanafunzi wa mzumbe tu ndo wanaona au vyuo vyote vya morogoro. Mwanafunzi aone product kulingana na eneo alilopo
2. Nyingine mm nishachoka kulipa nauli ya bajaji na bodoboda kwa cash lbadaa utegeneza app kwa ajili ya ku accept payment kwa madereva

3. Kwenye utalii labda ufanye kama ile tourbylocal mtu aweze ku book local guide akuonyeshe vivutio

4. Au tengeneza api za kuaccept payment kwenye website mbalimbali. Kama mm na website mataka ni accept labda mpesa kwenye malipo na jiconnect na api yako inanisaidia kwa hapo
 
Nitafute nikutengenezee crypto token yako yaani virtual currency yako.. sarafu yako ya mtandaoni ambayo itatumika kulipia viingilio vya mpira ligi kuu bara at the same time itatumika Kama form of investment.

Nafanya kazi nzima kuanzia kutengeneza Token yako, website, Whitepaper, kuilist kwenye pancakes swap.

Hadi ianze kuwa traded... It's a $100 million dollar business kwa nusu ya mtaji wako.

Hit my inbox for more info.
 
Mkuu nimesema cybersecurity sio cyptocurrencies
 
Hello wakuu,

Nilikua naomba kujua nikiwa na mtaji wa 20M mpaka 50M naweza kuanzisha tech startup?, pia idea gani naweza kuifanya kwa mtaji huo kwenye sector za usafiri (kama bolt au uber vile), sector ya afya, AI, cybersecurity, ecommerce, realestate, fashion etc

zipo nyingi na utakimbia.moja wamekula shirika la posta ni DM na kupa free project sitaki malipo ni wakomoe tu
 
Ungeweka tu hapa mkuu tupate na maoni ya wadau wengine

na miaka 13 ya project alafu tena niwe kilaza.
kuna project siwezi kuziweka hapa.kitakacho baki yalipita kama mawazo ili ufanyie kazi.

nafunga mafaili yangu watatumia wanangu na vizazi kuanzia karma aliyonipa mungu.
 
Hiyo fedha ndio kila kitu? Uko na wataalam wa Tech au ndio hiyo unategemea uwalipe?
Una timu ya Sales people au unategemea kwenye hiyohiyo?
Kama umeweka matuamini kwenye hiyo pesa jibu fupi ni haitoshi! Kujenga startup inachukua muda wa kutosha ambao hiyo hela itakuwa ilishakwisha umeisahau!

Jenga mahusiano na watu unaowahitaji. Ikiwezekana tafuta watu wa fani unayohitaji ambao wana maono, discpline na mwenendo unaooana, fanya wawe co-founders. Unaweka pesa wao wanaweka ujuzi. Angalau hapo itadumu kidogo.

Anyway, kuanzisha startup sio issue ya idea. Idea unaweza ku google ziko nyingi tu. Issue ni execution ya idea. Hapo ndipo utajua kama unaamini katika hiyo idea ama la!
 
Kwa experience yangu kwa huo mtaji wako inaweza ikawa ivi ( ikiwa idea yako ita base kwenye ku code ios na android app pamaja na website kwa ajili ya vitu kama api)

Timeline:

Kwenye IOS na Android
- ita include app design, implementation na programming

Kwenye website
- ita include technical specification [ hapa mostly ni uchaguzi wa programming language, na backend pamoja frontend framework. Pia uchazuzi wa storage labda amazon au microsoft]. Labda kuna third party api utatumia etc

Team:
Hapi unaweza ukatoa ajira kwa
1 (mtu mmoja wa) : UI/UX designed
1-2 (mtu mmoja au wawili) : android development
1-2 (mtu mmoja au wawili) : ios development
1 (mtu mmoja wa) : kwenye website backend
1 (mtu mmoja wa) : quality check, wa kutest izo app na website kabla hazijawa public
1 (mtu mmoja wa) : project manager
(unaweza ukawa wewe tu hapa, ukawasimamia hao vijana)

Project flow.
Hapa inategemea na jinsi iyo idea itavyokuwa complex kwenye development.

1. kwenye planing stage
-hapa mnaweza ku spend wiki 1 hadi 2

2. Kwenye design stage
- hapa mnaweza kutumia 2 hadi 3 ivi

3. Kwenye development
-hapa mnaweza tumia wiki 12 - 15

4. Kwenye testing
-kama wiki 1 au 2 zinayosha

5. Release (demo)
- wiki itatatosha kabisa, demo kwa watu nje ya office yetu ili mpate maoni ya system

6. Post Release
- mkisha jirizisha mnaweza ku zima demo mkaendelea na biashara

Kwa kumalizia kama nilivo sema idea complexity ndo inaweza ku extend mda wa development au kuufupisha

Simple app inaweza chukua miezi 2

Medium app inaweza chukua miezi 3 - 5

Kama ni complex sana na IT wako ndo wale wa ku google na youtube inaweza kuchukua miezi 6 hadi 18 na mtaji unaweza ukakata

Kwa idea unazoweza kufanya kwa haraka haraka
1. Labda utenfeneze ecommerce kwa ajili ya vyuo vikuu. Labda mm nasoma mzumbe nikipost product zangu wanafunzi wa mzumbe tu ndo wanaona au vyuo vyote vya morogoro. Mwanafunzi aone product kulingana na eneo alilopo
2. Nyingine mm nishachoka kulipa nauli ya bajaji na bodoboda kwa cash lbadaa utegeneza app kwa ajili ya ku accept payment kwa madereva

3. Kwenye utalii labda ufanye kama ile tourbylocal mtu aweze ku book local guide akuonyeshe vivutio

4. Au tengeneza api za kuaccept payment kwenye website mbalimbali. Kama mm na website mataka ni accept labda mpesa kwenye malipo na jiconnect na api yako inanisaidia kwa hapo

Dah kupitia hii comment nmepata idea nyingi sana safi sana mkuu shukrani
 
Hiyo fedha ndio kila kitu? Uko na wataalam wa Tech au ndio hiyo unategemea uwalipe?
Una timu ya Sales people au unategemea kwenye hiyohiyo?
Kama umeweka matuamini kwenye hiyo pesa jibu fupi ni haitoshi! Kujenga startup inachukua muda wa kutosha ambao hiyo hela itakuwa ilishakwisha umeisahau!

Jenga mahusiano na watu unaowahitaji. Ikiwezekana tafuta watu wa fani unayohitaji ambao wana maono, discpline na mwenendo unaooana, fanya wawe co-founders. Unaweka pesa wao wanaweka ujuzi. Angalau hapo itadumu kidogo.

Anyway, kuanzisha startup sio issue ya idea. Idea unaweza ku google ziko nyingi tu. Issue ni execution ya idea. Hapo ndipo utajua kama unaamini katika hiyo idea ama la!

Nilikua nategemea iwe kila kitu kuanzia offisi, mishahara na computer. Nilikua sijafikiria kuhusu sales team.

Mkuu mtaji wangu inabidi ni usogeze mpanga ngapi?
 
Kwa Bongo, kutegemea mtaji pekee, ni changamoto sana. Mazingira yetu ni very unpredictable kwa hiyo mtaji pekee sio guarantee. Unaweza lipa watu delivery ikawa zero. Au ukakuta kuna compliance hujaweka sawa ukala vitasa na penalty juu.

Kama vipi karibu ofisini kwa ushauri. Tunatoa consultancy kama hii, tunaenda deep sana na ni kwa gharama nafuu sana. Unaokoa fedha na muda wako kwa kiasi hicho kidogo.
 
Ofisi yako iko wapi... Posta?
 
na miaka 13 ya project alafu tena niwe kilaza.
kuna project siwezi kuziweka hapa.kitakacho baki yalipita kama mawazo ili ufanyie kazi.

nafunga mafaili yangu watatumia wanangu na vizazi kuanzia karma aliyonipa mungu.
Project za IT zinapitwa na wakati haraka sana, hivyo unapoteza muda tu.
Jiulize software za mwaka 2010 zina hali gani leo. Hata facebook ya mwaka 2015 sivyo ilivyo leo.Amazon kila leo inaboreshwa. Ulichokugundua wewe kunawenzio wako kukifanyia kazi au utafiti.
Acha kujidanganya eti utaficha teknolojia na ibaki marketable mda wote.
Nenda kasome historia ya relativity theory, Einstein angechelewa kuipublish Lorenzo tayari alikuwa na hio idea na wengineo nimewasahau majina.
Inasemejana Nicola Tesla ndio mtu wa kwanza kugundua wireless technokogy,Xray machine , radio waves nk ika alikuwa mpuuzi asiechukulia mambo serious kwa hio hakusajili ugunduzi huo na mwishowe watu wengine wakaja na hizo idea mpaka leo wanamakampuni makubwa yeye vifaa vyake viko makumbusho vinapigwa vumbi.
Kwa hio huwezi kuwa na idea peke yako hiu dunua ina watu wenye akili sana kuliko unavyodhani.
 
Kwa experience yangu kwa huo mtaji wako inaweza ikawa ivi ( ikiwa idea yako ita base kwenye ku code ios na android app pamaja na website kwa ajili ya vitu kama api)

Timeline:

Kwenye IOS na Android
- ita include app design, implementation na programming

Kwenye website
- ita include technical specification [ hapa mostly ni uchaguzi wa programming language, na backend pamoja frontend framework. Pia uchazuzi wa storage labda amazon au microsoft]. Labda kuna third party api utatumia etc

Team:
Hapi unaweza ukatoa ajira kwa
1 (mtu mmoja wa) : UI/UX designed
1-2 (mtu mmoja au wawili) : android development
1-2 (mtu mmoja au wawili) : ios development
1 (mtu mmoja wa) : kwenye website backend
1 (mtu mmoja wa) : quality check, wa kutest izo app na website kabla hazijawa public
1 (mtu mmoja wa) : project manager
(unaweza ukawa wewe tu hapa, ukawasimamia hao vijana)

Project flow.
Hapa inategemea na jinsi iyo idea itavyokuwa complex kwenye development.

1. kwenye planing stage
-hapa mnaweza ku spend wiki 1 hadi 2

2. Kwenye design stage
- hapa mnaweza kutumia 2 hadi 3 ivi

3. Kwenye development
-hapa mnaweza tumia wiki 12 - 15

4. Kwenye testing
-kama wiki 1 au 2 zinayosha

5. Release (demo)
- wiki itatatosha kabisa, demo kwa watu nje ya office yetu ili mpate maoni ya system

6. Post Release
- mkisha jirizisha mnaweza ku zima demo mkaendelea na biashara

Kwa kumalizia kama nilivo sema idea complexity ndo inaweza ku extend mda wa development au kuufupisha

Simple app inaweza chukua miezi 2

Medium app inaweza chukua miezi 3 - 5

Kama ni complex sana na IT wako ndo wale wa ku google na youtube inaweza kuchukua miezi 6 hadi 18 na mtaji unaweza ukakata

Kwa idea unazoweza kufanya kwa haraka haraka
1. Labda utenfeneze ecommerce kwa ajili ya vyuo vikuu. Labda mm nasoma mzumbe nikipost product zangu wanafunzi wa mzumbe tu ndo wanaona au vyuo vyote vya morogoro. Mwanafunzi aone product kulingana na eneo alilopo
2. Nyingine mm nishachoka kulipa nauli ya bajaji na bodoboda kwa cash lbadaa utegeneza app kwa ajili ya ku accept payment kwa madereva

3. Kwenye utalii labda ufanye kama ile tourbylocal mtu aweze ku book local guide akuonyeshe vivutio

4. Au tengeneza api za kuaccept payment kwenye website mbalimbali. Kama mm na website mataka ni accept labda mpesa kwenye malipo na jiconnect na api yako inanisaidia kwa hapo
Mkuu kwa nini uendele na mfumo wa traditioinal compony management system.
Jaribu kumshauri autumie modern way kuendesga kampuni ambapo hata hitaji kuwa makolokolo mengi uliyoyataja.
 
Project za IT zinapitwa na wakati haraka sana, hivyo unapoteza muda tu.
Jiulize software za mwaka 2010 zina hali gani leo. Hata facebook ya mwaka 2015 sivyo ilivyo leo.Amazon kila leo inaboreshwa. Ulichokugundua wewe kunawenzio wako kukifanyia kazi au utafiti.
Acha kujidanganya eti utaficha teknolojia na ibaki marketable mda wote.
Nenda kasome historia ya relativity theory, Einstein angechelewa kuipublish Lorenzo tayari alikuwa na hio idea na wengineo nimewasahau majina.
Inasemejana Nicola Tesla ndio mtu wa kwanza kugundua wireless technokogy,Xray machine , radio waves nk ika alikuwa mpuuzi asiechukulia mambo serious kwa hio hakusajili ugunduzi huo na mwishowe watu wengine wakaja na hizo idea mpaka leo wanamakampuni makubwa yeye vifaa vyake viko makumbusho vinapigwa vumbi.
Kwa hio huwezi kuwa na idea peke yako hiu dunua ina watu wenye akili sana kuliko unavyodhani.

chako ni chako tu.
ni kuilize kitu microsoft alikuwa windows phone ilichukua mda gani na ios ilipofika leo kuna nini !.

Nasa ina mda gani na leo spaceX ndio habari ya mjini kuliko tulio tegemea.

sisi tunaamini ukichelewa kina kufa.

unafahamu whatsapp ilikuwa ni project ya mda mrefu tokea app ya Nimbuzz ilipo pelekwa facebook walikataa ila walikuja mda gani na leo facebook kanunua kwa pesa kubwa.
 
Back
Top Bottom