Programu nzuri na nyepesi ya video editing.

mnyandzombe

JF-Expert Member
Jul 24, 2015
240
190
Natanguliza shukrani.

Naomba kufahamu ni aina gani ya programu ya video editing ambayo inaweza operate kwenye laptop ya kawaida aina ya Dell Inspiron yenye properties hizihapa
RAM 4GB
Processor Intel(R) Celeron (R) 2957U @1.40GHz 1.40 GHz
HD 500GB

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hitfim
 
magix easy video editor, movie maker na cyberlink powerdirector zote zitakubali. ila narecomend sana cyberlink powedirector, ni powerfull halafu pia ni rahisi kuitumia.

pia unaweza tumia hizi proffesional programs lakini versions za zamani mfano after effect cs3 itapiga mzigo fresh.

pia consider kutafuta software yenye quicksync support maana hio gpu yako inayo, wakati wa kurender speed itaongezeka sana.
 
Asante mkuu kwa mawazo mazuri

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Natanguliza shukrani.

Naomba kufahamu ni aina gani ya programu ya video editing ambayo inaweza operate kwenye laptop ya kawaida aina ya Dell Inspiron yenye properties hizihapa
RAM 4GB
Processor Intel(R) Celeron (R) 2957U @1.40GHz 1.40 GHz
HD 500GB

Post sent using JamiiForums mobile app

Dell inspiron nyingi zinatumia intel HD ambayo ni display ya kawaida kwa hivyo unaweza kuinstall CS5 na ikafanya kazi ila unapokuja kwenye suara zima la kurender ili uweze kuitoa kazi ni lazima utakesha hapo. kwa mi nakushauri utumie desktop ambayo utafunga graphic card yenye angarau 1GB.
 
magix easy video editor, movie maker na cyberlink powerdirector zote zitakubali. ila narecomend sana cyberlink powedirector, ni powerfull halafu pia ni rahisi kuitumia.

pia unaweza tumia hizi proffesional programs lakini versions za zamani mfano after effect cs3 itapiga mzigo fresh.

pia consider kutafuta software yenye quicksync support maana hio gpu yako inayo, wakati wa kurender speed itaongezeka sana.
Asante sana mkuu. Naweza kuzipata free of charge?
 
Sony vegas pro 12 inakufaa
Pia kama unhitaji pc ambayo ina hayo mazaga yote ya video pro,audio production na software zingine nichek ukiwa na laki 3 tu nikuuzie yangu.ila ni desktop sio laptop
 
Labda uchakachue. Cyber link wanatoa trial, siku 30 unaweza ujaribu kama Utaipend.
Imeshindikana kama hivi mkuu:

1622460856490.png
 
Ume download version ya 64bit wakati windows yako ni 32bit.
Mkuu niliwahi kudowload ya 32 bit ikanielekeza kwa hackers; ngoja nitulie kwanza nitafakari jinsi ya kupata editor isiyokuwa na masharti au longolongo.
 
Back
Top Bottom