Programu Maalum za Kudhibiti vifaa vya Kidigitali vinavyotumiwa na Watoto

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
572
2,551
Vifaa vya Kidigitali huweka Programu zinazowapa wazazi uwezo wa Kudhibiti Maudhui yasiyofaa, Muda wa utazamaji na kufuatilia mambo wanayofanya Watoto wawapo Mtandaoni ili kuwalinda

Udhibiti huu unaweza pia kufanyika kupitia kampuni za Simu au tovuti anazotembelea mtoto kwa kuweka utaratibu maalum utakaozuia ufikiwaji wa taarifa zote zisizoendana na umri husika wa mtoto.

Unafahamu uwepo wa Programu hizo? Unazitumia kikamilifu?


====

Parental controls are designed to help protect children from inappropriate content online, such as pornography or other adult content.

These controls can be used in a number of ways, e.g. to help ensure that your children access only age-appropriate content, to set usage times and to monitor activity. Where can I find them?

There are four main places you can find parental controls, and it can help to set up a combination of these:

Internet provider: You can set up filters to help block access to inappropriate content on any device that connects to your home WiFi.

Mobile operator: Filters are often automatically set up on mobile contracts, especially if the user is under the age of 18, but you can double-check with your provider.

Devices: Many devices have parental control settings, for example, to help restrict spending in apps, reduce screentime, or disable location functions.

Online Services: Sites like BBC iPlayer and YouTube have parental control settings to help restrict access to inappropriate content.

Childnet
 
Back
Top Bottom