Programu imeshindwa kuextract kwa win rar imeshindwa kumaliza inaonyesha kuna file ndani yake limecorrupt

Papushikashi

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
10,697
12,758
samahani kwa wadau kuna program (game) nimedownload mpaka ikamaliza 100% kwa kutumia idm, sasa wakati wa ku extract kwa win rar imeshindwa kumaliza inaonyesha kuna file ndani yake limecorrupt
Sasa vipi naweza kulisolve hilo tatizo la file moja au mpaka nianze upya kudownload kutoka mwanzo? maana kidogo game ni kubwa kama 10GB
 
Game nyingi kubwa huwa matatizo yapo kwenye leseni,hivyo sio rahisi ukadown load game free halafu likacheza.Kama hilo game limetoka kampuni EA USIJISUMBUE.Vile vile zima anti virus kabla ya kuextract na kama itaendelea kugoma tafuta pach ya hiyo game.
 
asante mkuu, hiyo patch naipataje na naifanyaje?
 
Nenda google au kwenye hiyo website uliyodownload search jina la hiyo game ukimalizia na neno patch ukipata hiyo patch watakupa na maelezo ya namna ya fix error na mafaili yaliyocorrupt katika hiyo game na wakati mwingine zinaweza kuwa ni dll za computer yako ndio zinasumbua kwahiyo computer itakwambia.
 
asante sana ngoja nijaribu
 
Game nyingi kubwa huwa matatizo yapo kwenye leseni,hivyo sio rahisi ukadown load game free halafu likacheza.Kama hilo game limetoka kampuni EA USIJISUMBUE.Vile vile zima anti virus kabla ya kuextract na kama itaendelea kugoma tafuta pach ya hiyo game.
Mkuu umeelewa shida ya Papushikashi?
tatizo sio patch ya game tatizo ni kwamba hata game hajaiinstall tatizo lipo kwenye compressed file .RAR
hivto basi inamaanisha hiyo compressed game imecorrupt download toka site nyingine
bcoz hiyo ilishanipata pindi nadownload fifa 14 niliidownload mara mbili lakini ilikua imecorrupt
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom