Programming

TenHag Ball22

Member
Jul 2, 2011
39
3
Nataka nianze kusoma programming but sijui nianze na which language kama python java c obj-c c++ php cobal etc Please i need ur advice nataka nisome tu ili nipate more job opportunities mbele JST FINISGED O-LEVEL bado I FOUND COURSES KWENYE ITUNES U iPAD SIJUI KAMA NI NZURI ZA HARVARD
 
Nenda udacity.com chukua intro to computer science kama unapenda video, otherwise chukua kitabu cha beginner cha lugha unayotaka. Nakushauri uchukue Java, C#, Python au Vb.net kama lugha ya kwanza hasa C# download Visual studio express ya bure na upo teyari kuprogram.
 
kama u r into designin,yaani web development,php,javascript,html,css,xml hazikwepeki,upande wa software development,java,c,c++,visual basic,Lugha nyingi zipo in the same level of abstraction,ukielewa c,wakati unasoma c++ itakuwa rahisi nk,Kwa nchi yetu hii ambayo tuko nyuma kimaendeleo inakulazimu ufahamu zaidi ya programming 1,nchi za wenzetu unaweza ukakomaa na ''java'' tu ukatoka,web nzuri kwa web development, www.w3schools.com, www.tizag.com,, www.lynda.com, kwa software development, download vitabu,author dummies,au video tutorials unaweza pata kwenye torrent site.
 
kama unataka kuajiriwa soma JAVA--the portable language. C++ huwa ni ngumu kujifunza kama first language so unaweza soma BASIC -- VB.NET au hata C#. Lakini huwezi kujidai na language moja so kama unataka kusoma Java mi nakushauri usome na C++ kwani Syntax yake inafananafanana. Programming ni rahisi kama utaipenda pia njia rahisi ya kusoma Programming ni kufanya practice mwenyewe sio uone code then u-Copy na ku-Paste just type it itakufanya uzoee keyboard. Pia kwenye swala uchaguzi wa language kila mtu huwa anavutia kwake. Mtu wa Pascal atakwambia Pascal ndo best mtu wa Java atakwambia Java ndo kila kitu, ila ukweli ni kwamba kila language ina uzuri na ubaya wake. Na suala la syntax sio tatizo ukizoea kuandika comments hivi // utakuwa umezoea tu na utaona shida kuandika hivi ' ukizoea kudeclare number kwa kutumia int utaona shida kufanya declaration kwa kutumia Dim. ALL IN ALL language zote zinatumia njia ambazo zinafanana au kukaribiana concept za function, classes, loops na vingenevyo unavikuta kwenye language karibu zote.

Kuna kitabu cha C++ kinaitwa The C++ Programming Language kimeandikwa na Bjarne Stroustrup (the creator of C++) kizuri sana kitafute.

Kuna kitabu cha Java: Beginning Programming with Java for Dummies 3rd ed pia kizuri mwandishi ni: Bury Burd

OTHER LINKS:

How To Start Programming //VB.net & PHP
www.schoolfreeware.com //C#, C++, ASP.NET, VB.NET
Free Beginners Computer Tutorials and Lessons //VB.net, C#.net, Java
cplusplus.com - The C++ Resources Network //yani hapo ni C++ TU
www.onestartprogramming.com //hapo ni C++, C#
Nice coding lakini kumbuka "programming is very addictive, be carefully" :ranger:
 
Kwani unataka baadae ufanyaje? Mfano kama unataka kuwa Drivers programmer Go for C
Everything is learned for a reason not blindly!
 
anza na c++ then java na vb.net kuna website kama w3school.com na vtc.net wanaweza kukusaidia video za kujifunzia
 
anza na c++ then java na vb.net kuna website kama w3school.com na vtc.net wanaweza kukusaidia video za kujifunzia
Whats the point of learning C++ then Java for beginner? C++ can do all Java can do and with careful design Java can perform as optimum as many C++ programs.
I would say to Newbee stick either with C/C++ or Java and when necessary switching (NOT LEARNING as per se) to another language.

The language he/she can start with is Python. Its elegant and teaches how to make neat code snippets!
 
Whats the point of learning C++ then Java for beginner? C++ can do all Java can do and with careful design Java can perform as optimum as many C++ programs.
I would say to Newbee stick either with C/C++ or Java and when necessary switching (NOT LEARNING as per se) to another language.

The language he/she can start with is Python. Its elegant and teaches how to make neat code snippets!

hapo kwenye C unaongelea C kama C yaani C plain au unaongelea C obj? kuna haja gani ya kuendelea kujifunza C wakati kuna successor wake huyu--->> C++.
 
Python ni programming language, scripting ni moja ya popular uses za Python.
 
mi nasoma c prmgramming lakini cjui aplication zake.mnaweza nielewesha jamani.
 
Back
Top Bottom