programming | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

programming

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by HEARTZ, Apr 2, 2012.

 1. H

  HEARTZ Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  msaada jinsi ya kuandika code ya c++ language inayo wasilisha process control block()pcb
   
 2. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Though i have never been s good in programming swali complex unalouliza kwa maneno yasiyozidi 20 inaonesha labda hujui hata ugumu au ukubwa wa kitu unachohitaji.

  Hayo mambo yataka mtu mkali tena hasa wa mambo ya Data structure. na mambo kama LIFO, FIFO, Arrays. Ques etc

  NI juzi juzi tu niikuwa nasoma kitabu kimoja cha intrvieww za vitendo maprogrammer wa google/ yahoo mhhh niliona kweli wengine tunacheza.

  Any way ngoja wajuzi wakali wa program Ila before hata ya kunadika inabidi tujue na tuelimishane functions /interfaces za hiyo hiyo PCB ( Process control bolock). Na zina fanya kazi kwa principles gani? Nakumbua nilijifunza mambo ya Process na memory management kanumbas colege na tuiishia kwenye longolongo au kwa lugha ya diplomasia niseme theory tu

  So Kwa longo long zangu hata kaba ya kuandika hiyo prgram Do a program design.

  Mfano unaweza kutengeza design ya hiy PCB kwa kusoma hapa
  howstuff works

  Then katika kila kazi/ majukumu ya hayo PCB yaiyoyoshwa hapo ukadesign code

  Au chora mtiririko wa events zinazotekea kwa kutumia DFD au flowchart au too nyinngine then code za C++ hata mimi kilaza wa programming naweza kujaribu

  Lakini kama unatafuta short cut na sio kuelewa zaidi unaweza kutafuta online through google au tafuta za ubuntu/linux

  lol
   
Loading...