Programming Language ipi ni nzuri ?

Kababrah

Member
Dec 14, 2016
50
39
Mimi Ninasoma Program language ya PHP Na kwangu imekua rahisi sana kuielewa.
ila Kwa sasa naona kuna language nyingi za programming Mfano:phython,C++,C#,Java,
Javascript,Golang Na Nyingine nyingi.
Je kuna utofauti labda Au Hata nikiendelea Na PHP ni sawa tu Maana wengine Huikimbia Wakidai Ni Ngumu Mno.
please Naombeni Ushauri Wana JF.
 
kwanza PHP language ngumu kama unavyotaka kutuaminisha, hizi programming language hutofautiana katika matumizi mfano ili uweze kutengeneza android apps lazima ujue vizuri java kama unataka kutengeneza website ambayo ni very interactive lazima ujue javascript kwenye maswala ya data mining na data analysis uwe mzuri katika javascript
 
Soma java is the COBOL of this error....pia muhimu na backend languages.
String b=LearnJava;
System.out.println ("Nakushauri" + b);
Output
Nakushaurinull
 
Kila Language ina strength zake na pia kuna flaws zake. Wewe ulisoma PHP ili uifanyie nini, na umefanikisha ulichohitaji kutoka PHP. Unaweza kuchagua language unayotaka kutumia kulingana na kitu unachotaka kufanikisha kwa wakati huo au baadae. Itakusaidia kutokujutia muda uliopoteza kwa programming language fulani baadae.

Jifunze kutembelea hili jukwaa http://technocrats.co.tz/
Litakupa muongozo mzuri wa wapi pa kwenda na lina resources nyingi za kujifunzia, pia ni la nyumbani hapahapa Tanzania.
 
Mimi Ninasoma Program language ya PHP Na kwangu imekua rahisi sana kuielewa.
ila Kwa sasa naona kuna language nyingi za programming Mfano:phython,C++,C#,Java,
Javascript,Golang Na Nyingine nyingi.
Je kuna utofauti labda Au Hata nikiendelea Na PHP ni sawa tu Maana wengine Huikimbia Wakidai Ni Ngumu Mno.
please Naombeni Ushauri Wana JF.

Inategemea na matumizi yako, unataka kujifunza programming ili ufanyie nini?
 
Mimi Ninasoma Program language ya PHP Na kwangu imekua rahisi sana kuielewa.
ila Kwa sasa naona kuna language nyingi za programming Mfano:phython,C++,C#,Java,
Javascript,Golang Na Nyingine nyingi.
Je kuna utofauti labda Au Hata nikiendelea Na PHP ni sawa tu Maana wengine Huikimbia Wakidai Ni Ngumu Mno.
please Naombeni Ushauri Wana JF.
Php iko sana katika web and web apps development! Kama ni mpenzi wa web development endelea na php na wakati unasoma php unganisha na mysql itakua njema!! Usianze php then uende java au any other language....maliza na uifanyie mazoezi php ukiwa fresh ndio uendelee na language ingine!!!
 
programming languages nyingi zinategemea na nini ambacho wewe unakihitaji ufanikishe
Mimi Ninasoma Program language ya PHP Na kwangu imekua rahisi sana kuielewa.
Hii utajikita kwenye web programming hasa kwenye server side language, kuaccess databases. Ni ngumu kutengeneza natives apps kwa PHP.
ila Kwa sasa naona kuna language nyingi za programming Mfano:phython,C++,C#,Java,
Javascript,Golang Na Nyingine nyingi.
javascript ni client side language kuifanya website yako kuwa na mvuto zaidi more interactives nk.

Je kuna utofauti labda Au Hata nikiendelea Na PHP ni sawa tu Maana wengine Huikimbia Wakidai Ni Ngumu Mno.
please Naombeni Ushauri Wana JF.
Hiyo php utajikuta umebase kwenye mambo ya website pekee, lakini kwa soko jinsi lilivyo kwa sasa matumizi ya apps na internet kwenye simu hasa Android ni makubwa kuliko hata laptop ama PC hivyo hauna budi kupitia JAVA mkuu ili uwe na uwezo wa kutengeneza apps, pia java inaweza fanya fanya vingi ambavyo php inafanya.
Soma language zaidi ya moja kwa kuzingatia structural oriented na object oriented languages, C/C++,JAVA,PHP na nyinginezo pitia tu ukipata muda.
 
Katika karne hii Na ijayo Tukizungumzia hasa katika maswala ya Technologia ama Utandawazi Nimeona nizungumzie Baadhi ya programming language unazoweza kusoma kwa karne hii

1= C/C++
Hii hutumika sana katika kutengeneza GAME mbalimbali

Hii itasaidia sana kukuingizia kipato coz watu wengi hupenda sana kucheza Games haijalishi ni mtoto au mkubwa.

2=JAVA
Hii hutumika hasa katika kutengeneza Apps Mbalimbali za Android.Hii pia itakusaidia kukuingizia kipato. Ila hata C hutengeneza Apps japo hasa ni za IOS

hayo ni mawazo Yangu tu kama kuna mwenye wazo anaweza changia.

Ahsanteni.
 
Uzi umekosa nyama,tueleze kwa kirefu ili sisi tusio na utaalam tuelewe vizr
C/c++ maana ake nini?
Hizi ni computer languages au programming languages zinazotumiaka kuandika applications mbali mbali kwa ajili ya computer, simu au device yeyote!!

Mfano hiyo web brower unayoitumia, microsoft office, excell n.k zimeandikwa au imetengenezwa kwa kutumia C na C++, operating system kama windows n.k zote zimeandikwa kwa kutumia C na C++!!

Kwa lugha rahisi C/C++ ni moja ya languages (among many) ambazo ni popular na zinatumika kwa ajili kutengeneza applications mbali mbali za computer/websites/devices n.k!
 
1= C/C++
Hii hutumika sana katika kutengeneza GAME mbalimbali

Hii itasaidia sana kukuingizia kipato coz watu wengi hupenda sana kucheza Games haijalishi ni mtoto au mkubwa.
Kwa kuongezea, C na C++ sio tu zinatumika kutengeneza ma gemu, zinatumiaka sana katika kutengeneza applications na systems kama hospitalin, hospitalini, zinatumika kwenye devices n.k pia zinatumika kutengeza virus wa komputa, operating systems kama windows, linux, mac os karibia zote zimetengenezwa kwa hizi languages...

Inaweza kutumika kwenye android apps development japo sio popular katika uwanja huu kama java!!

Pia zimetumika ku derive languages nyingine kama java, php, python na nyingine nyingi!! kwa kifupi hizi core languages katika IT world!!
2=JAVA
Hii hutumika hasa katika kutengeneza Apps Mbalimbali za Android.Hii pia itakusaidia kukuingizia kipato. Ila hata C hutengeneza Apps japo hasa ni za IOS
Java imegawanyika kwenye sehem kuu tatu! yaani Java SE(core java), Java FX kwa ajili desktop applications, na Java EE kwa ajili ya web apps!

Java sio tu inatumika kwenye android apps, pia inatumika kwenye kutengeneza applications kwa ajili ya desktop computer kwa kutumia Java FX na pia inatumika kwenye kutengeneza enterprise/web apps kama za mabenki, na mashirika makubwa makubwa!!

Mpaka sasa java imefikia version 1.9 au java 9 ambapo ilitolewa mwaka huu mwezi wa saba kama sikosei!!

Android apps (95%) zimetengezwa kwa kutumia JAVA!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom