Programming language to learn for Web Applications

Pambana tu boss.ukimaliza hizo tutorial kama ulivyoshauriwa hapo juu chagua frameworks zako chache kuendana na language unayohitaji kufanyia kazi angalia ipi utaimudu alafu kazi iendelee .

Kingine usijichanganye sana, chagua language utakayoimudu vizuri kuliko zote alaf hakikisha unakuwa deep, hii itakupa urahisi pindi utakapo hitaji kujifunza programming language mpya .

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hapo kweny php na html ebu fafanua kidogo mtaalam maana ni mmj wapo kati yao wanaochanganya mmb
Kwenye Software development kuna hii concept inaitwa seperation of concern

kimsingi ni ku group sections fulani katika codebase yako zinazofanya jukumu linalofanana

Kwa mfano, kuna codes kwenye application yako zinazofanya kazi ya upload images kwenye database

Nyingine kwa ajiri ya ku insert image's path to the database

Then kuna codes kwa ajiri ya kuchukua image kutoka kwa client

Sio busara ku zi mix zote kwenye single monolithic file, inakua ngumu ku maintain na ku read codes za namna hii

Changamoto inakua kubwa zaidi pale unapo mix frontend logic (html + css +js) na back-end logic (php)

Kwa style hii ni ngumu hata kufanya kazi in team, assume wewe upo vizuri sana kwenye back-end (php) ila haupo vizuri kwenye frontend, na mimi nipo vizuri kwenye front-end ila sijui chochote kuhusu PHP

Tunafanyaje kazi kama team, kama ndani ya app yako ume embed html snippets kwenye PHP?

Solutuon ni ku separate logic, part ya back-end iwe separate from front-end

Na sio back-end na front-end tu, hakikisha codes zinazofanya kazi ya aina moja zipo katika eneo moja

Normally unapoanza kujifunza PHP kama beginner ni lazima u fall kwenye hio trap

Ni honest mistake,in fact PHP iliundwa kufanya kazi na HTML
But sio approach nzuri ku mix Html na PHP

Solution ni ku design templating engine
Templating engine, lengo lake ni ku hide back-end codes (mfano codes za php)
Kwenye syntax rahisi kueleweka kwa mwenzako anaye work with frontend
Halafu in the background hizo syntax zinakuwa compiled back to plain php codes

Mfano badala ya codes kama hizi( prented tuna display list of customers)

Code:
// index.php

// customers 
$customers = [ 'Maria' => 1, 'Steve' => 2, 'Abuu' => 3]',

// List all  customers 
foreach($customers as $key => $customer)  
{
   echo "<h1>$key</h1>" ',
}

Kwa mwenzako aye deal na front-end na hajui chochote kuhusu PHP hawezi display hio list ukimpa hizo data

Solution ni ku develop simple templating engine inayo mpa sytanx rahisi kama hizi

Code:
// index.blade.php
@foreach($customers as $customer) 
  <h1 class="user_namd">{{ $customer }}</h1>
@endforeach

Hizo syntax ni rahisi kueleweka bila kuwa na knowledge yoyote ya PHP
As long as ume mpa guide ya matumizi yake
Pia zinafanya codes zipendeze

Huna haja ya ku concatenate variable na string tena

Andika tu
hello {{$customer}}

Framework kama Laravel na Django zina built in templating engines,huna haja ya ku develop ya kwako from the scratch

Hio ndio maana ya separation of concern, inafanya app iwe rahisi kueleweka na easy ku maintain hata kama original developer hayupo

Na ukihamia kwenye pure Javascript app, una shift kabisa codes zako za front-end from the back-end
 
Kakaa aisee nakubali be my mentor aisee
 
watafute jamaa wanitwa udacity,, wanaonline courses ziko poa sana..very good for beginners and you will never regret
 
Back
Top Bottom