Programmer karibuni hapa

Ndama dume

JF-Expert Member
Nov 1, 2019
858
1,480
Habarini za leo wadau,
Naomba kuwakaribisha hapa na kuwapa ajira endapo nitaridhika na namna ambavyo unaweza kufanya hivi vitu nitakavyouliza hapa.

1.Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kutengeneza system ambayo kama shule itakuwa inaratibu vizuri malipo ya wanafunzi kwa ulipaji wa ada na bila kupoteza kumbukumbu,
Lakini pia kuwepo na system ambayo kila fedha itakavyokuwa inatumika tunaweza ingiza kwenye system na kuhifadhi kama kumbukumbu na mwisho wa mwaka unaweza ukaprint taarifa nzima ya maingizo na mapato na matumizi.
2. Kuwepo na system ambayo itakuwa imebeba majina yote ya wanafunzi wote shulen na kila kidato na darasa na kila mwanafunzi kuwe na taarifa zake muhimu kama kitaaluma na maendeleo ya afya yake na tabia zake na katika mitihani yake yote matokeo ya jumla na tunawezaje pia kukonnect na namba za simu za wazazi wake matokeo yakitoka ukishamjazia kwenye data base yake automatically mzazi anapata matokeo ya mwanae kwenye simu yake na kama kuna ujumbe unamuhitaji mzazi kufika shulen au kumkumbushia den la ada au mchango wowote basi aupate huo ujumbe kwenye simu yake automatic .

Karibuni sana nikivutiwa na kujieleza kwako na kunielzea basi kazi ipo nitakupa ajira
 
Yeah, inawezekana kabisa. Ila the complex the system, the more you have to pay.
Naona SIMS zinatafutwa sana siku hizi.
 
Kuna ready made systems zinauzwa. Ebu angalia hii
https://www.g2.com/products/myclasscampus/reviews#reviews
 
Mkuu ulinitafuta tukaongea vizuri alafu ukapotea ukawa hupokei simu zangu sema hilo jambo linawezekana sana tuu
Labda huenda namba zako nilifuta maana nikikaa na namba mwezi mmoja bila mawasiliano nafuta na namba ngeni huwa sipokei mkuu karibu tena
 
Habarini za leo wadau,
Naomba kuwakaribisha hapa na kuwapa ajira endapo nitaridhika na namna ambavyo unaweza kufanya hivi vitu nitakavyouliza hapa.

1.Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kutengeneza system ambayo kama shule itakuwa inaratibu vizuri malipo ya wanafunzi kwa ulipaji wa ada na bila kupoteza kumbukumbu,
Lakini pia kuwepo na system ambayo kila fedha itakavyokuwa inatumika tunaweza ingiza kwenye system na kuhifadhi kama kumbukumbu na mwisho wa mwaka unaweza ukaprint taarifa nzima ya maingizo na mapato na matumizi.
2. Kuwepo na system ambayo itakuwa imebeba majina yote ya wanafunzi wote shulen na kila kidato na darasa na kila mwanafunzi kuwe na taarifa zake muhimu kama kitaaluma na maendeleo ya afya yake na tabia zake na katika mitihani yake yote matokeo ya jumla na tunawezaje pia kukonnect na namba za simu za wazazi wake matokeo yakitoka ukishamjazia kwenye data base yake automatically mzazi anapata matokeo ya mwanae kwenye simu yake na kama kuna ujumbe unamuhitaji mzazi kufika shulen au kumkumbushia den la ada au mchango wowote basi aupate huo ujumbe kwenye simu yake automatic .

Karibuni sana nikivutiwa na kujieleza kwako na kunielzea basi kazi ipo nitakupa ajira
Mkuu unataka iliyotayari au utengenezewe?
 
Anataka atengenezewe, but feedback hata hatoi, maana inaonekana watu wamemfuata ila jamaa hashikiki.

Ni vyema akarudisha feedback Kama amepata mtu, sio kwa kimya hicho.
 
Sasa kama hujanifuata PM nitajuaje kuwa upo
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom