PROGRAM NZURI ZA KUEDIT PICHA KWA COMPUTER

Yohana Daniel

Member
Mar 18, 2018
55
23
Happy new year wapendwa wa JF natumai wote tunafurahia kuupokea mwaka
Naomba kufahamu ni program gani nzuri ya computer ambayo unaweza kuedit picha nzuri ikiwa na autofocus ya ukweli
Maoni yenu kwa wanaojua kama asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakua anamaanisha background blur kwenye Photoshop CC unaweza blur picha hata kama camera haikupiga auto focus
Kama unmaanisha ile blur kwenye picha huitwa potrait mode ama bokeh effect, sehemu ambayo haina focus inakuwa blured.

Autofocus ninavyofahamu mimi ni ile mechanisim ya camera kutambua object na kuiangalia, siku hizi wanatumia hadi laser kwa accuracy nzuri.
 
Huyu amemaanisha ile blur effect watu wengi wanaiita auto focus...
 
Back
Top Bottom