Program Note: OZ - Afya ya Lowassa kwa Sasa Siyo Hoja? Will blow your mind...

Operesheni Zinduka inaendelea; tutagusa mojawapo ya mada ambbazo labda itakuwa ya pekee ya kumtetea Lowassa kuhusiana na hoja ya afya yake. Kuna kitu hata hivyo ambacho ukikisikia utashtuka... hasa kwa wale undecided na wengine ambao wanafikiri wameshaamua stay tuned!

Mkuu, ni wazi ka-mradi kako kame-buma; pumzika tuu mkuu; dili lako na Dr. limegeuka dilisha; unaheshimiwa sana, at the same time unadharauliwa sana.
 
Me nilishazinduka kwenye Bunge la katiba, Escrow na Muswada wa gesi bungeni..

Na maamuz nilishayafanya kutoka hapo, sasa mbona huwezi kunibadilisha!
Naona unapoteza muda tu.
 
Rafiki MMM,
Mambo ya Afya nakusihi utumie hekima.Bwana Mungu ndiye anayeshikilia uhai na Afya zetu. I think,therefore,You understand this.
Well,unaweza kusema Huyu ndugu Lowasa anaitaka Ofisi yetu ya umma,hivyo tunawajibu wa kujua afya yake; Vema na haki. Lakini je Unaijua Afya ya Pombe? Je Afya ya Kikwete?
Roll back your sanity folk.
Vinginevyo una kesi na Muumba (kama unaamini,au huamini).
 
Operesheni Zinduka inaendelea; tutagusa mojawapo ya mada ambbazo labda itakuwa ya pekee ya kumtetea Lowassa kuhusiana na hoja ya afya yake. Kuna kitu hata hivyo ambacho ukikisikia utashtuka... hasa kwa wale undecided na wengine ambao wanafikiri wameshaamua stay tuned!
Naubiri kwa hamu.
 
We endelea tu na Zinduna yako kwa Obama huku Bongo watu washaanza kushangilia ushindi.
attachment.php
 
Operesheni Zinduka inaendelea; tutagusa mojawapo ya mada ambbazo labda itakuwa ya pekee ya kumtetea Lowassa kuhusiana na hoja ya afya yake. Kuna kitu hata hivyo ambacho ukikisikia utashtuka... hasa kwa wale undecided na wengine ambao wanafikiri wameshaamua stay tuned!

Unapoteza muda wako kaka..... Wananchi hawakuambilika kuhusu Lowassa, leo hii kwa hizi siku 10 zilizobaki unafikiri unaweza kubadilisha watu... Your just wasting ur time....
 
Operesheni Zinduka inaendelea; tutagusa mojawapo ya mada ambbazo labda itakuwa ya pekee ya kumtetea Lowassa kuhusiana na hoja ya afya yake. Kuna kitu hata hivyo ambacho ukikisikia utashtuka... hasa kwa wale undecided na wengine ambao wanafikiri wameshaamua stay tuned!

Naona baada ya kutumia mbinu zote na hakuna matunda, sasa umeamua kuvaa viatu vya Nape, Lusinde na Msukuma kujaribu kuona kama itawapa matokeo chanya! Hakika nimeamini njaa mbaya sana. Pole sana MMM, kwani credibility yako ilishapotea mbele za wengi tu hasa ulipofika bei wewe na ndugu Slaa. Anyway, NIKUPONGEZE TU KWA KUJIVIKA UUNGU na sasa unataka kufanya afya ya Mh. Lowassa kuwa ajenda kama vile uhai wetu unaamua wewe. Pole zako ndugu yangu. Pamoja na yote utakayosema, kuna NENO moja tu lililowazi machoni mwa wapiga kura walio wengi (zaidi ya 50%) ni kwamba, kuja Oktoba 25, Mh. Lowassa atakuwa Rais wa Tanzania.
 
Tatizo la MMM anadhan hatuna akili na hatujui tunachofanya. Bali yeye na Dk Slaa pekee ndio wenye akili hivyo wanapaswa kutuelimisha. MM jua kwamba we know what we are doing. Go to hell with your Slaa!
 
Operesheni Zinduka inaendelea; tutagusa mojawapo ya mada ambbazo labda itakuwa ya pekee ya kumtetea Lowassa kuhusiana na hoja ya afya yake. Kuna kitu hata hivyo ambacho ukikisikia utashtuka... hasa kwa wale undecided na wengine ambao wanafikiri wameshaamua stay tuned!

Lakini wewe Mzee Mwanakijiji wewe hujawahi kuumwa tangu kuzaliwa kwako?? Au familia yako haijawahi kupata hata na ugonjwa wowote?? Mimi hapa ni muathirika wa UKIMWI nimeamua kuweka wazi na ninakerekwa sana na tabia zenu hizi za kunyanyapaa wagonjwa…Kana kwamba ninyi CCM hamuumwi?? Mbona Kikwete alikuja huko kwenu USA kutibiwa na hatukumnyanyapaa!!!Mbona kila wakati Mungu anawapiga viboko huko India?? Maiti ngapi za wana CCM zimerudishwa huku kutoka India???
Hivi wale akina mama na wagonjwa wote wa pale Muhimbili, Mwananyamala ni UKAWA….
Yaani nimebaki kutoa machozi kwa hiyo tabia yenu ya kunyanyapaa wagonjwa!!! Sisi huku ktk dini zetu tunaamini kuwa uzima unatolewa na Mungu na maradhi vilevile Mungu anayatoa!!!Niambie ni nani anataka kuumwa???Umshukuru Mungu uko hai mpaka sasa hivi lakini hujui Mungu anaweza akachukua pumzi yake mda wowote….
Wenzako walimnyanyapaa huyo Lowassa na hatunao tena hapa!!!
Siasa gani hii mliobaki nayo ninyi CCM?Mbona mlikuwa na miaka mingi ya kujitangaza!!! Hoja ya ugonjwa haina nguvu mwanakijiji…unajipunguzia heshima mkuu…Bado tunakuheshimu sana mwanakijiji hapa JF
 
huu ni mfano kwa huyo jamaa mwana kijiji Mungu ndio ajuae natumaini kesho tutapata msiba labda mtoto wa mwanakijiji.pole ndungu kwa Elimu yako natumaini huyo Gamba kakusikia.

swissme
 
Hiki ni kile kipindi ambacho watu wengi huwaachia wengine akili zao wawahifadhie ili waje kuzitumia baada ya uchaguzi mkuu kupita..wasi wasi wangu ni kama wahifadhi wenyewe watakumbuka kuzitunza vyema!
 
Atu usema amebakiza siku chache za kuishi.....amesha kuwa chaguo letu....wewe chaguo lako si Dr Slaa na mkewe....nenda kawapigie kura.
 
Operesheni Zinduka inaendelea; tutagusa mojawapo ya mada ambbazo labda itakuwa ya pekee ya kumtetea Lowassa kuhusiana na hoja ya afya yake. Kuna kitu hata hivyo ambacho ukikisikia utashtuka... hasa kwa wale undecided na wengine ambao wanafikiri wameshaamua stay tuned!

Wewe huna jipya mkuu. Ni wivu tu unaokusumbua wewe na Dr Mihogo wako. Kwani mgombea wa Urais ni Lowassa tu peke yake? Hao wengine mbona huwasemi? Halafu kwani ni lazima wewe kuandika kuhusu CHADEMA? Aibu kubwa sana! Lione hili
 
Rafiki MMM,
Mambo ya Afya nakusihi utumie hekima.Bwana Mungu ndiye anayeshikilia uhai na Afya zetu. I think,therefore,You understand this.
Well,unaweza kusema Huyu ndugu Lowasa anaitaka Ofisi yetu ya umma,hivyo tunawajibu wa kujua afya yake; Vema na haki. Lakini je Unaijua Afya ya Pombe? Je Afya ya Kikwete?
Roll back your sanity folk.
Vinginevyo una kesi na Muumba (kama unaamini,au huamini).

Kwa maana nyingine unamwambia ni hekima kubwa laa MM kukaa kimya.
Je angekuwa anamsupport lowassa ungekuja na maoni haya?
Au hekima ya Mungu inahusu kumsupport Lowassa peke yake na mgombea mwingine?
 
Back
Top Bottom