Profoma Invoice ya Sangoma kwa Ajili ya Makongoro Mahanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Profoma Invoice ya Sangoma kwa Ajili ya Makongoro Mahanga

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanangwa, Nov 3, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Jamani Wanasegerea anayefahamu sangoma wa ukweli aseme tuchukue proforma invoice, tuchangishane, tununue ndumba tummalize huyu jambazi Makongolo Mahanga.

  Sikubali kama ameshinda kihalali.

  Bora afe kuliko kuongoza jimbo letu la Segerea

  Nina hasira!!!
   
 2. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa ni picha halisi ya Uongozi mzima wa kikwete!
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hawa jamaa ccm na nec wanataka kuleta vita
   
 4. m

  mamtaresi Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio maana majimbo ya upinzani yaloshinda hawatangazi hadi wachakachue . ccm hawalalamiki kuchelewa kwa matokeo why? kama siyo wako kwenye huo mradi wa kuchakachua? mwanza mchakachuaji mkuu kikwete alienda katolewa nje arusha huyu mmasai naye katoka monduli kuja kutetea jimbo la mjini kama si mwizi ni nini?
   
Loading...