Profile ya Dr. Wilbard Slaa Wa Jimbo la Karatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Profile ya Dr. Wilbard Slaa Wa Jimbo la Karatu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by payuka, Aug 31, 2010.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kama kuna mwenye data, naomba atujuze habari za huyu bwana anaegombea ubunge kwa ticket ya ccm jimbo la karatu. Mi nadhani jamaa wamemteua purposely ili kuwachanganya wananchi wa Karatu siku ya uchaguzi.
  Na inawezekana hapa kuna mpango fulani ambao watu wameshauandaa either Kumhujumu Mgombea Urais wa chadema au ili kulitwaa jimbo la karatu kirahisi.


  Jamani tupeni info wenye kujua walau kiwango cha uelewa wa raia wa jimbo la karatu e.g. wasiojua kusoma na kuandika ni wangapi, waliojiandikisha kupiga kura mwaka huu 2010 ni wangapi? n.k

  Hii haiwezi kuwa ni coincidence...jamani!!!!!
   
 2. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Payuka, natamani sana kuelewa this thread lakini kila nikijitahidi kuelewa nagonga mwamba, unamaanisha nini hapa?
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Title ya Thread na maelezo yake ushirikiano zero, nahitaji kufanya kazi ya ziada hadi nikuelewe!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  Namshukueru muumba, nimeelewa vizuri anacho kihitaji payuka.
  ILA TITLE NA BODY HAVINA MAHUSIANO KABISA
   
 5. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nina maana: CCM wamemteua jamaa anaeitwa Dr. Wilbard Slaa kama mgombea wa ubunge kwa ticket ya ccm jimbo la Karatu anakotokea Dr. Wilbroad Silaa.....
  Sasa nauliza lengo la ccm Kumchagua huyu mtu mwenye jina linalofanana na la mgombea urais kwa ticket ya Chadema ni coincidence kweli au kuna namna?? Tusaidiane jamani!!!!
   
 6. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Sio raia huyo........
   
 7. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako payuka,

  Mkuu hata mimi nimebaki nashangaa imekuwaje CCM wakamteua mtu mwenye jina linalofanana na Dr Slaa mgombea urais wa CHADEMA.
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mKUU huyo anaeleweka KUNA MTU ANAGOMBE UBUNGE KARATU ATAITWA WILBARD SLAA

  HII ITAWACHANGANYA WAPIGA KURA MANA WANAWEZA KUMPIGIA WILBARD SLAA WAKIFIKIRI NDO RAIS AT THE END AKASHINDA UBUNGE
   
 9. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Pls Read Btn lines:

  Mgombea Ubunge jimbo la Karatu kwa ticket ya CCM anaitwa: Dr. Wilbard Slaa
  Mgombea Uraisi Kwa Ticket Ya Chadema Anaitwa: Dr. Wibroad Silaa

  Kumbuka Dr. Wilbroad Silaa alishakuwa mbunge wa Jimbo la Karatu Kwa Ticket ya Chadema.....swali; je hii ni ko-incidence au ni mpango maalum wa kuwachanganya wananchi wa hilo jimbo?
   
 10. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kaka thread yako haijakaa vizuri, yule mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM anaitwa Slaa na sio Wilbrod au Dr, so kidogo rekebisha hii post yako.
   
 11. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimewapata wakuu, is this coincidence au makusudi? sasa hapa kama 'Dr.Slaa ze famous' alikuwa kipenzi cha watu wa karatu, na watu hao wanakosa kujuzwa vilivyo kuhusu utofauti za watu hawa 2, si itakuwa balaa cause wanaweza kumchagua Slaa-CCM, wakijua ni Slaa-Chadema?
  CHADEMA inabidi mfanye kazi ya ziada kumnadi mgombea wenu wa sasa huko Karatu.
   
 12. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,934
  Likes Received: 12,200
  Trophy Points: 280
  payuka usitake kuchanganya watu majina ya wagombea ubunge wa Karatu kutoka NEC ni haya

  CCM: Dr. Wilbald LORRI
  CHADEMA: Israel Yohana Natse
  Na mgombea urais Chadema ni Dr. Wilbroad Slaa tuambie wapi yanafanana.
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unaweza kuta idadi ya wasiojua kusoma na kuandika ikawapa ahueni CCM
  Ivi ni kweli nae Dr au uzushi.
  Tume ya uchaguzi hamjaliona ilo?
   
 14. M

  Mangi Meli Member

  #14
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je Dr. famous analifahamu hilo? ukweli ni kwamba hapa kuna kamchezo kachafu :confused2:
   
 15. MasterMind

  MasterMind Senior Member

  #15
  Aug 31, 2010
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Very clever indeed...........
   
 16. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0

  Check hiyo list.......jamani mwenye Gazeti la mwananchi aliweke hadharani ....labda uniambie jamaa waliamua kutu- mislead
  1.MKOA WA KIGOMA
  (i) Mjini: Peter Serukamba,
  (ii)Kigoma South: Gulam Hussein Shaaban Kifu,
  (iii)Kasulu Urban: Neka Raphael Neka,
  (iv)Kasulu Rural: Daniel Nsanzugwanko,
  (v)Manyovu: Albert F. Ntabaliba,
  (vi)Buyungu: Christopher Chiza,
  (vii)Muhambwe: Jamal Abdallah Tamimu,
  (viii)Kigoma North: Rabinson, F. Lembo.

  2.MKOA WA KILIMANJARO
  (I) Moshi Mjini:Justin Salakana,
  (ii) Moshi Vijijini: Dk. Cyril Agust Chami,
  (iii)Rombo: Basil Pesambili Mramba,
  (iv)Same Mashariki): Anne Kilango Malecela,
  (v)Same Magharibi: Dk. David Mathayo David,
  (vi)Hai: Fuya Godwin Kimbita,
  (vii) Vunjo: Chrispin Theobald Meela,
  (viii) Mwanga: Profesa Jumanne Maghembe,
  (ix)Siha, Aggrey D.J. Mwanri.

  3.MKOA WA MANYARA:
  (i)Babati mjin:Kisyeri Werema Chambiri,
  (ii)Babati Vijini: Jitu Vrajil Soni,
  (iii)Hanang: Dk. Mary Michael Nagu,
  (iv)Kiteto: Benedict Ole Nangoro
  (v) Mbulu:philip Sang'ake Marmo,
  (vi)Simanjiro:Christopher Ole Sendeka.

  4.MKOA WA MARA
  (i) Musoma mjini: Vedasto Manyinyi,
  (ii)Musoma vijijini:Nimrod Elirehema Mkono,
  (iii)Mwibara: Alphaxard Kangi Lugola,
  (iv)Bunda: Stephen Masatu Wasira,
  (v)Rorya: Lameck Okambo Airo,
  (vi)Tarime, Nyambari Chacha Nyangwine,
  (vii)Serengeti: Dk. Stephene Kebwe Kebwe.

  5.MKOA WA MBEYA
  (i) Mbeya Mjini: Benson Mwailugula Mpesya,
  (ii) Mbeya Vijijini: Luckson Ndage Mwanjala,
  (iii) Kyela: Dk Harrison George Mwakyembe,
  (iv)Mbarali: Dickson Modestus Kilufi,
  (v)Lupa: Victor Kilasile Mwambalaswa,
  (vi) Songwe:philipo Augustino Mulugo,
  (vii) Rungwe Mashariki: Profesa Mark James Mwandosya,
  (viii) Rungwe Magharibi: Profesa David Homeli Mwakyusa,
  (ix) Ileje: Aliko Nikusuma Kibona,
  (x)Mbozi Mashariki: Godfrey Weston Zambi,
  (xi)Mbozi Magharibi: Dk. Luka Jelasa Siame.


  6. MKOA WA MOROGORO

  (i)Morogoro Mjini:Aziz Mohamed Abood,
  (ii)Morogoro Kaskazini: Dk. Lucy Sawera Nkya,
  (iii)Morogoro Kusini: Innocent Kalogeris,
  (iv)Mvomero: Amos Gabriel Makala
  (v) Ulanga Mashariki: Celina Ompeshi Kombani,
  (vi)Ulanga Magharibi: Haji Hussein Mponda,
  (vii)Gairo: Ahmed Mubukhut Shabiby
  (viii)Kilosa, Mustafa Heidi Mkulo,
  (ix)Mikumi: Abdulsalaam Suleiman,
  (x)Kilombero: Abdul Rajab Mteketa.

  7.MKOA WA TABORA
  (i)Urambo Mashariki: Samwel John Sitta
  (ii)Urambo Magahribi: Juma Athuman Kapuya,
  (iii)
  Tabora Mjini: Ismail Aden Rage,
  (iv)Igunga: Rostam Abdulsasu Aziz,
  (v)Sikonge: Said Juma Nkumba
  (vi) Igagula: Athuman Rashid Mfutakamba
  (vii) Tabora: Sumar Shaffin Mamlo,
  (viii)Bukene: Seleman Jumanne Zedi
  (ix)Nzega:Dr. Hamisi Andrea Kigwangala

  8.MKOA WA TANGA
  (i)Tanga mjini: Omari Rashid Nundu
  (ii)Kilindi: Beatrice Matumbo Shelukind
  (iii)Muheza: Herbert James Mntangi
  (iv)Mkinga: Danstan Luka Kitandula
  (v)Pangani: Salehe Ahmed Pamba
  (vi)Lushoto: Henry Daffa Shekifu
  (vii)Bumbuli: January Makamba
  (viii)Korogwe Mjini:Yusuph Nasri
  (ix)Mlalo:Brig. Gen. Hassan Athuman Ngwilizi
  (x)Korogwe Vijijini: Stephen Ngonyani
  (xi)Handeni: Dr. Abdalah Omari Kigoda

  10.MKOA WA DAR ES SALAAM
  (i).Kinondoni: Idd Mohamed AZAN
  (ii).Ubungo: Hawa Mgonja NG'UMBI
  (iii).Kawe: Angella Charles KIZIGHA
  (iv).Ilala: Musa Azan ZUNGU
  (v).Ukonga: Eugen Elishirima MWAIPOSA
  (vi).Segerea:Dr. Milton Makongoro MAHANGA
  (vii).Temeke: Abbas Zuber MTEMVU
  (viii).Kigamboni:Dr. Faustine NDUGULILE

  11.MKOA WA LINDI
  (i)Lindi Mjini:Ndugu Mohamed ABDULAZIZ
  (ii)Mtama:Ndugu Bernard Kamillius MEMBE
  (iii)Mchinga:Ndugu Said M. MTANDA
  (iv)Nachingwea:Ndugu Mathias Meinrad CHIKAWE
  (v)Ruangwa:Ndugu Kassim MAJALIWA
  (vi)Kilwa kaskazini:Ndugu Murtaza Ali MANGUNGU
  (vii)Kilwa Kusini:Ndugu Ramadhan Rashid MADABIDA
  (viii)Liwale:Ndugu Faith Mohamed MITAMBO

  12.MKOA WA PWANI
  (i)Bagamoyo: Dr. Shukuru J. Kawambwa
  (ii)Chalinze: Saidi Athuman Bwanamdogo
  (iii)Kisarawe: Seleman Saidi Jafo
  (iv)Kibiti: Abdul J. Marombwa
  (v)Kibaha Vijijini: Mahamud Abuu Jumaa
  (vi)Kibaha Mjini: Silvestery F. Koka
  (vii)Mkuranga: Adam Kighoma Malima
  (viii)Rufiji: Dr. Seif Seleman Rashid
  (ix)Mafia: Abdulkarim E. Shaha

  13.MKOA WA RUKWA
  (i)Kwela: Malocha Aloyce Ignace
  (ii)Kalambo: Kandege Sinkamba Josephat
  (iii)Nkasi Kaskazini: Ally Mohamed Kessy
  (iv)Nkasi Kusini:Deusderius Mipata
  (v)Mlele: Mizengo Kayanza Peter Pinda
  (vi)Mpanda Kati (mjini): Sebastian Simon Kapufi
  (vii)Sumbawanga Mjini: Aeshi Khalfan Hilaly
  (viii)Mpanda Vijijini: Moshi S. Kakoso

  14.MKOA WA SHINYANGA
  (i)Shinyanga Mjini: Steven Julius Masele
  (ii)Kishapu: Nchambi Seleman Masoud
  (iii)Kahama: James Daud Lembeli
  (iv)Msalala: Maige Ezekiel Magolyo
  (v)Solwa: AhmeD Ally Salum
  (vi)Bukombe: Emanuel Jumanne Luhahula
  (vii)Mbogwe: Masele Agustino Manyanda
  (viii)Bariadi Mashariki: Makondo Martine Kaunda
  (ix)Bariadi Magharibi: Chenge Andrew John
  (x)Maswa Mashariki: Bunyongoli Peter Edward
  (xi)Maswa Magharibi: Kisena Robert Simon
  (xii)Meatu:Salum Khamis Salum
  (xiii)Kisesa: Joelson Luhaga Mpina.

  15.MKOA WA SINGINDA
  (i)Singida Mjini:Mohamed Gulam Dewji
  (ii) Manyoni Mashariki:Capt.(mstaafu) John Chiligati
  (iii)Manyoni Magharibi: John Paul Lwanji
  (v)Iramba Magharibi: Mwigulu Lameck Nchemba Matelu
  (vi)Iramba Mashariki:Salome David Mwambu
  (vii)Singida Kaskazini:Lazaro Samwel Nyalandu
  (viii)Singida Magharibi:Alhaj Mohamed Misanga
  (ix)Singida Mashariki:Jonathan Andrew Njau

  16.MKOA WA ARUSHA
  (i)Arusha:Dr. Batilda BURIANI
  (ii)Arumeru Mashariki: Jeremiah Solomon SUMARI
  (iii)Arumeru Magharibi: Goodluck Joseph Ole MEDEYE
  (iv)Karatu: Dr. Wilbald Slaa LORRI
  (v)Longido: Michael Lekule LAIZER
  (vi)Monduli: Edward Ngoyai LOWASSA
  (vii)Ngorongoro: Saning'o Kaika Ole TELELE

  17.MKOA WA IRINGA
  (i)Iringa Mjini: Monica Ngenzi MBEGA
  (ii)Isimani: William Vangimembe LUKUVI
  (iii)Kalenga: William Augustino MGIMWA
  (iv)Kilolo:prof. Peter Mahamudu MSOLLA
  (v)Ludewa: Deo Haule FILIKUNJOMBE
  (vi)Makete:Dr. Binilith Satano MAHENGE
  (vii)Mufindi Kaskazini: Mohamed Hassan MGIMWA
  (viii)Mufindi Kusini: Menrad Lutengano KIGOLA
  (ix)Njombe Kaskazini:Deo Kasenyenda SANGA (Jah People)
  (x)Njombe Kusini: Anne Semamba MAKINDA
  (xi)Njombe Magharibi: Gerson Hosea LWENGE

  18.MKOA WA KAGERA
  (i)Nkenge: Assumpter Nshunju MSHAMA
  (ii)Bukoba Mjini: Khamis S. KAGASHEKI
  (iii)Bukoba Vijijini:Ndugu Jasson S. RWEIKIZA
  (iv)Muleba Kaskazini: Charles J. MWIJAGE
  (v)Muleba Kusini: Anna K. TIBAIJUKA
  (vi)Chato: John Pombe MAGUFULI
  (vii)Kyerwa: Eustace O. KATAGIRA
  (viii)Karagwe: Gosbert B. BLANDES
  (ix)Biharamulo: Oscar R. MUKASA
  (x)Ngara: Deogratias Aloys NTUKAMAZINA
   
 17. M

  Mangi Meli Member

  #17
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Coincidence??? NO WAY!! we know these guys! must have something to do with this!!:glasses-nerdy:
   
 18. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
 19. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2010
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,723
  Likes Received: 1,218
  Trophy Points: 280
  Ujue hapo CCM wanataka kuhalalisha wizi wa kura wachukue jimbo la Karatu.

  Watch out!
   
 20. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #20
  Aug 31, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
Loading...