Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Watanzania mlivyo wachovu mshalegezwa saiv na magufuli ,kwan huyo ataivunja hayo mambo mabaya wa zeee wa cccm? Mbona mnakuwa wepesi kuvuliwa ngua? Hamfikiliii kabisa huyo kama atatekeleza ilani yao2 ya kuvunja sheria na kutetea chama au mmesahau kikweteee mlimpokea je na ameharibu je? Acheni bhsna mnaudhi sanaaa
 
maisha binafsi ya magufuli na utendaji kazi wake vina mahusiano gani?

huoni uhusiano kati ya mtu mwenye maadilu na mtu anayepachika pachika watu mimba tena wanafunzi wake? acha ujitoa ufahamu wewe...Rais mtarajiwa anawezaje kula kavukavu kirahisi hivyo ...hivi lini tutapata Rais mwenye kuheshimu sakramenti ya ndoa?
 
Kasoma seminary gani? Lake? Mkwawa? Ndo nasikia leo kuwa hizo shule nazo ni seminary!

Alianzia Seminary ya Katoke Biharamulo...form one na form two.
Baada ya hapo ndo alihamia (may be alifukuzwa Seminary) Lake Mwanza.
 
huoni uhusiano kati ya mtu mwenye maadilu na mtu anayepachika pachika watu mimba tena wanafunzi wake? acha ujitoa ufahamu wewe...Rais mtarajiwa anawezaje kula kavukavu kirahisi hivyo ...hivi lini tutapata Rais mwenye kuheshimu sakramenti ya ndoa?

Kama unamfahamu Ruth alipo please nifamishe
 
Watanzania mlivyo wachovu mshalegezwa saiv na magufuli ,kwan huyo ataivunja hayo mambo mabaya wa zeee wa cccm? Mbona mnakuwa wepesi kuvuliwa ngua? Hamfikiliii kabisa huyo kama atatekeleza ilani yao2 ya kuvunja sheria na kutetea chama au mmesahau kikweteee mlimpokea je na ameharibu je? Acheni bhsna mnaudhi sanaaa

CCM inao maprofesa na madokta lkn shida ni maadili ya viongozi wote walioko kwenye huo nfumo wa kifisadi na kutojali wananchi. Hawana huruma na wanajilipa fedha nyingi wakati Huduma za jamii ni duni. Tujaribu upinzani tuone utendaji wao.
 
He! Mimi nilikua silijui hili!,

Nimekutana na Mzee mmoja mkongwe wa CCM leo asubuhi mtaani kwetu akanambia; "Aisee CCM wanakiua chama hivi hivi,wanafikiri wamemaliza makundi lakini subiri utajionea mwenyewe!Eti huyu ndio aje kua M/kiti wa chama! yaani wao badala ya kuchagua kiongozi mwenye historia ya kukiongoza chama na kukijua vizuri, leo wamekosa kiongozi mwenye sifa mpaka wakachagua mtu ambaye hata hajui CCM imeanzia wapi?

Yeye anajua tu idadi ya barabara na samaki tu! Haujui hata muundo wa uongozi wa ndani ya Chama, Ni bora hata ya Mwigulu ambaye ndani ya muda mfupi nafasi ya N/katibu mkuu CCM bara kakifahamu chama vizuri, ni bora hata Lowassa pamoja na kuhama kwake lakini anajua namna vyama vinavyoendeshwa kwa uzoefu wake wa uongozi wa miaka mingi ndani ya CCM"

Aidha huyo mzee akaendelea kusema kwamba" Angalia hata kampeni za Magufuli! ni za hofu,jazba,kutetemeka, kukosa kujiamini mbele ya umma, Lakini Lowassa yeye hana hofu anafanya yake kimya kimya akijiamini kua Magufuli sio size yake! kwahiyo kijana ukweli tunaujua asikudanganye mtu"
 
Lowasa alishawahi kuwa kiongozi CHADEMA au chama chochote cha UKAWA hata kwa saa moja?
Magufuli hajaamua CCM! Alikuepo toka zamani, LOWASA alishawahi kua kiongozi wa CCM ngazi ya Taifa, vyote ni vyama vya siasa kazi ni moja.
 
Ni kweli hajawahi kushika nafasi hizo.
Lakini huo uwezo alikuwa nao na jinsi ya kuongoza anajua. Yeye kuwa M/Kiti wa CCM anafaa kabisa.

ANGALIZO; Kuwa M/Kiti wa CCM sio kwenda kulima au kubeba magunia bali ni kufuata kanuni na taratibu
za chama KUONGOZA.

Jambo la mwisho, MAGUFULI ndio Rais wako wa Tano. Ikulu ipo kwa ajili ya CCM tuu.

Mandla.
 
Naona mfumo wa ccm ukiendelea kuliangamiza taifa,Magufuli ataongozwa kwa remote na wenye ccm yao.
 
Back
Top Bottom