Proffessor sostenes muhngo admires you

Kidasa

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
309
108
wana JF Nilikuwa naangalia kipindi cha ITV Jumapili(08.12.2013) kilichokuwa kinarushwa live pale ukumbi wa NKURUMAH-Mada ikiwa RASILIMALI ZA TAIFA LETU NA HATMA YA MTANZANIA KUZIMILIKI.Kipindi kilikuwa kizuri sana na wachangiaji walionyesha umahiri wao katika kuchangia mjadala.Aliyeniosha kabisa ni huyu Proffosor Muhongo,frankly huyu jamaa ni kichwa sana,real ameniempress sana,nimepata muda wa kuangalia kwa undani CV yake,ki ukweli CV yake imetulia.
 
Unajua maana ya ku'admire?or u meant inspire?
Af hii ina husiana na MMU ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom