Proff. Hirji No More!...

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,723
Proffessor Karim K.N.HIRJI amefariki, mazishi yake kesho 16/03/2010 huko Njiro Makaburini, Arusha!
Hirji alikuwa Msomi na Mweledi aliyebobea, akiwa amefanya kazi nyingi za utafiti.
Alipata kuwa Mkurugenzi wa Serengeti Wildlife Research Institute, na ameshika nafasi nyingi za uongozi nchini.
Hadi anafariki alikuwa member wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA).
Sina details zaidi za habari za maisha yake, lakini najua kuna wadau wengi hapa ndani wanaomwelewa, aidha walisha'interact nae katika taaluma au maisha ya kawaida, na hawatasita kutueleza zaidi.
Mungu ailaze mahala pema roho ya marehemu!
 
Proffessor HIRJI amefariki, mazishi yake kesho 16/03/2010 huko Njiro Makaburini, Arusha!
Hirji alikuwa Msomi na Mweledi aliyebobea, akiwa ameshika nafasi nyingi za uongozi nchini. Hadi anafariki alikuwa member wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA).
Sina details zaidi za habari za maisha yake, lakini najua kuna wadau wengi wanaomwelewa, aidha walisha'interact nae katika taaluma.
Mungu ailaze mahala pema roho ya marehemu!

Rip prof.
 
75wazee2a.jpg

It was a hilarious moment during the Wazees football match when Professor Karim Hirji who played as a goal keeper missed the ball and instead settled with it at the far end of the net. The custodian was more prepared for a nap than catching the ball. (Photo by Raymond John

Sijafanikiwa kuipata picha yake nzuri, lakini hapo anaonekana(mwenye mvi nyingi sana) akiwa golikipa wa timu ya wazee, nadhani hapo alijisahau akalala usingizi golini!
 
RIP Professor Hirji. Poleni wafiwa wote na mungu awape ustahilivu katika kipindi hiki kigumu.
 
Nilibahatika kuhudhuria ibada ya Mazishi yake Jana pale katika viwanja vya General tyre. Ibada iliongozwa na Askofu Alinikisa Cheyo wa Kanisa la Moravian kutoka Mbeya. Watu wengi sana walihudhuria mazishi yake.
Mungu aiweke mahali pema peponi roho yake - AMEN
 
Rest in peace Karim. Stella na watoto na ndugu wote poleni sana. Mungu awape nguvu ili muweze kuvuka kipindi hiki kwa amani na upendo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom