Wakuu mpo?
Leo nimeona nike kwenye pande za burudani kuna uzi jamaa alianzisha kuwa Michael Scofield ni zaidi ya professor. Nilicheka sana kwa kujua hivi ni vile vitoto viliaminishwa tu havijui whats inside.
Michael Scofield alisifika sana ndani ya Prison Break akicheza kama master mind kwa kujichora ramani na mabalaa mengine. Humo jamaa alitamba sana.
Scofield ni kama founder wa movie ya kutumia akili na sio actions, pili kipindi kile series zilikuwa chache sana.
Sasa mzee mzima professor jamaa anaongea kispain but uzuri siku hizi kuna eng subtitles. Jamaa ni mwizi, part 1 alienda kiwanda cha kuchapisha pesa na part 2 bank of spain kuiba gold reserve.
Aisee jamaa ni mastermind usipime. Anaweza kukuvuruga mpaka ukakosa mlango wa kutokea. Nimependa sana jinsi filamu hii ilivoishia.
Niliyojifunza:-
Kwanza forex ni news: Kipindi anaingia bank, jamaa aliwaambia maIT wake Pakistan waachie video aisee uchumi ukashuka fasta alipoitwa na Tomayo alimwambia Tomayo itisha press comference sema gold umeipata akafanya uchumi ukapanda ila gold ilioletwa ni fake na ikabaki kama national secret.
Project zake: Mara awazingue dhahabu imefichwa kwenye bahari satelite ikashindwa kutrack wakaomba msaaada NATO ila walificha hawakusema kama dhahabu imebiwa kuogopa forex. Jamaa anajua kutibua. Nimejifunza vingi sana mambo ya kualter video, digital sound, ammonia kufuta finger print, na fake news.