Professor wa money heist ni zaidi ya Michael Scofield

Gold bar kama ile huwezi ibeba kirahisi vile
Hakuna gari inaweza beba zile bars kwa wingi ule
 
I think professors kwa nafasi yake kama master mind kamzidi Scofield kwa mbali sana .

Professor ni good negotiator

Ana predict future events za authority.

Ana walead authority to false information

Professor alimfannya colonel alfonso prieto kuugua na kupata erectile dynsfanction.

Uwezo wa akili na kumove coercive desperate ulimfanya inspector mulliro kukili mwenyewe he is not her league alipokuja mjua kuwa salva/Sergio anae mfvck ndio professor akashindwa hata mshoot akaishia ku fall in love

By the way tokyo na rio wale brainless kabisa hawana akili hata chembe full of emotion hapa tunajifunza kwamba ukiendekeza emotions unapotea wapuuzi wale wamewarudi wenzao kwenye mabalaa sababu ga mapenzi yao ya kifala.

At least denver ana viakili kidogo japo nae emotions zimemtawala.

Berlin huyu jamaa ana saikojia kalia sana he know how to deal with people mind at least na Nairobi

By the way sikuwahi ifatilia ila naweza hii series ilikua haki yake kukiki kwenye social media maana akili iliyotumika kuitengeneza ilitulia
 
Michael scofield ni hatari zaidi unajua kwann Jamaa anajua ku improvise, anatumia current situation no matter iko mbaya vipi na mda mfupi vip...yeye anatengeneza plan, uwezo wa akili kufikiria chap na kupata solns under stressful situations Michael hapo yeye ni expert

uwezo wake wa kutumia surroundings ku create anachotaka iwe ni explosion, distraction or whatsoever that’s clearly a gift
 
Money Heist iko overrated. PB ina cast ambao wako strong na kuwepo kwao kumeleta umaana mno, M.Heist nilianza kuangalia ila nilipoona mambo mengi hovyo niliitupilia mbali.

Nakupa challenge kama utapata muda tulia anza kuangalia PB upya, usijaribu kutafuta series iliyotafsiriwa. Baada ya kumaliza linganisha tena na hiyo M.Heist. I hope PB utakuwa umeisahau kama uliwahi kuiangalia.
 
Back
Top Bottom