Professor wa money heist ni zaidi ya Michael Scofield

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,841
2,000
Wakuu mpo?

Leo nimeona nike kwenye pande za burudani kuna uzi jamaa alianzisha kuwa Michael Scofield ni zaidi ya professor. Nilicheka sana kwa kujua hivi ni vile vitoto viliaminishwa tu havijui whats inside.

Michael Scofield alisifika sana ndani ya Prison Break akicheza kama master mind kwa kujichora ramani na mabalaa mengine. Humo jamaa alitamba sana.

Scofield ni kama founder wa movie ya kutumia akili na sio actions, pili kipindi kile series zilikuwa chache sana.

Sasa mzee mzima professor jamaa anaongea kispain but uzuri siku hizi kuna eng subtitles. Jamaa ni mwizi, part 1 alienda kiwanda cha kuchapisha pesa na part 2 bank of spain kuiba gold reserve.

Aisee jamaa ni mastermind usipime. Anaweza kukuvuruga mpaka ukakosa mlango wa kutokea. Nimependa sana jinsi filamu hii ilivoishia.

Niliyojifunza:-

Kwanza forex ni news: Kipindi anaingia bank, jamaa aliwaambia maIT wake Pakistan waachie video aisee uchumi ukashuka fasta alipoitwa na Tomayo alimwambia Tomayo itisha press comference sema gold umeipata akafanya uchumi ukapanda ila gold ilioletwa ni fake na ikabaki kama national secret.

Project zake: Mara awazingue dhahabu imefichwa kwenye bahari satelite ikashindwa kutrack wakaomba msaaada NATO ila walificha hawakusema kama dhahabu imebiwa kuogopa forex. Jamaa anajua kutibua. Nimejifunza vingi sana mambo ya kualter video, digital sound, ammonia kufuta finger print, na fake news.
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
11,358
2,000
Kongole kwa muandika sripts na director. Waigizaji wanapitia kwenye mikono ya masta maind walioko nyuma ya pazia.
All in all dogo wa kwenye army of thieves 2021 aliitendea vyema tasnia ya majizi kwenye muvi😂
 
totlo masire

Senior Member
Nov 7, 2021
187
250
Kongole kwa muandika sripts na director. Waigizaji wanapitia kwenye mikono ya masta maind walioko nyuma ya pazia.
All in all dogo wa kwenye army of thieves 2021 aliitendea vyema tasnia ya majizi kwenye muvi

Yeah Dogo alicheza poa sana ni movie siichoki
 
Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
506
500
Kongole kwa muandika sripts na director. Waigizaji wanapitia kwenye mikono ya masta maind walioko nyuma ya pazia.
All in all dogo wa kwenye army of thieves 2021 aliitendea vyema tasnia ya majizi kwenye muvi
yule jamaa anajua haswa
 
DreezyD98

JF-Expert Member
Nov 6, 2020
814
1,000
Kongole kwa muandika sripts na director. Waigizaji wanapitia kwenye mikono ya masta maind walioko nyuma ya pazia.
All in all dogo wa kwenye army of thieves 2021 aliitendea vyema tasnia ya majizi kwenye muvi😂
Yule dogo ni hatari sana
 
Zeus1

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
5,251
2,000
Yani unamfananisha master kabisa Wentworth na huyo mzee??you are not serious mkuu.
 
Amorbwoy

JF-Expert Member
Mar 30, 2013
654
500
Nilitaka kuchangia lkn mtoa maada nazan hajui hata anachosema! Anachoandika haya mambo yameshajadiliwa zaman hum huwez kumfananisha michael na yule mnaemuita professor!
 
Isaac

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
1,052
2,000
Kwa maelezo yako tu inaonesha haujaangalia series zote vizuri. Hasa hiyo money heist ndio hujaielewa kabisaaaa
 
Shadow7

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
7,810
2,000
Kongole kwa muandika sripts na director. Waigizaji wanapitia kwenye mikono ya masta maind walioko nyuma ya pazia.
All in all dogo wa kwenye army of thieves 2021 aliitendea vyema tasnia ya majizi kwenye muvi😂
Teh teh Mvunja makufuli ni balaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom