Professor Lipumba unatuharibu vijana wako

okay .... wewe uliyeisoma si uiandike kama unaijua
unaendeshwa kwa mi hemko ya kipumbavu.
wewe legacy yako ni ipi kwa maisha yako?
familia yako au umefanyia nini nchi yako?
Kabla ya kuandika kaa chini ujitafakari,
Kuna watuhumu jamvini wanatabia za wafuasi wa kibwetere wa uganda.... Ipo siku mtafunikwa kwenye shimo kwa kujiona mnataka kuikomboa tanzania..wakati wewe maisha yako hata ya kujikomboa hujafikia robo ya robo
 
profesa ni pandikizi limepandikizwa tangu wakati vyama vingi vinaanza,ili aingie kwenye upinzani na akapewa uprofesa fake ili apate heshima, watu aina hii bado wapo kwenye vyama vya upinzani watajitokeza kila wanapohitajika,

wanakuwa sio binadam kamili ni kama misukule hawana hisia zozote wanaweza kuwa activated au deactivated time yeyote bila ya kujali jana alikuwa nani au nini anaharibu hawajielewi wala hawajali,wao ni actors kwenye maisha, anachojali ni kuwa perfect katika kutimiza maagizo anayopewa tu.

Koote nakuunga mkono but hapo kwenye bold natofautiana na wewe. Huyu jamaa kwa maana ya shule alifauru vizuri sana, ni miongoni mwa watu wanao ujua UCHUMI (kwa maana ya mitihani na kufundisha wengine) vizuri sana. But sio kila aliyesoma hua ana IQ kubwa, wengine wasinge soma huenda wangekua watu wanao chekesha sana humu duniani.
 
Huyu alikuwa mamluki toka zamani na ndio maana midomo yake na macho yake akisema vinatetemeka.

Ameigharimu sana siasa za Tanzania kwa upande wa wapinzani. Huyu ni mfano wa Shetani wa mashetani.
 
unaendeshwa kwa mi hemko ya kipumbavu.
wewe legacy yako ni ipi kwa maisha yako?
familia yako au umefanyia nini nchi yako?
Kabla ya kuandika kaa chini ujitafakari,
Kuna watuhumu jamvini wanatabia za wafuasi wa kibwetere wa uganda.... Ipo siku mtafunikwa kwenye shimo kwa kujiona mnataka kuikomboa tanzania..wakati wewe maisha yako hata ya kujikomboa hujafikia robo ya robo

Haya Kaka nimekuelewa, nashukuru ndugu yangu kwa kunijulisha mimi Mpumbavu...
 
Mfano mbovu usiokuwa na mashiko. Narudia kukwambia uwalaumu CUF kwa kumezwa na trend ya kumfuata Lowassa wakati ule, wakaachia ombwe la maamuzi.

Unaongea kwa hisia, unalialia na kulalama, kitu ambacho hakikusaidii zaidi ya kukupunguzia hasira kutoka kifuani mwako.

Okay, huo ni mtazamo wako, na kama Mtanzania una haki hiyo.... haya
 
Back
Top Bottom