Professor Lipumba amchimba mkwara Maalim Seif, atishia kumpiga marufuku kufanya siasa bara!

Zamani niliamini mtu akisoma sana na hasa akifikia level ya PHD atakuwa na busara. Kumbe I was wrong
 
3d13b2f36b0309214650319b31d76f36.jpg
 
Hili la kumpiga marufuku maalim kuja kufanya siasa bara, kuna jeuri nje ya CUF Lipumba anaringia si bure!
 
Hili la kumpiga marufuku maalim kuja kufanya siasa bara, kuna jeuri nje ya CUF Lipumba anaringia si bure!

ccm wanamtumia kuvuruga harakati za chama cha cuf....

wanatumia polisi kudidimiza democrasia kama anavyofanyiwa Seif hamad kule Mtwara...

Prof. Lipumba anatumika mwisho wenzake watamtema kama big G...

Lipumba ndio anatoa kibali cha kufanya mikutano ya kisiasa?

ktk upinzani wapo mamluki wa chama tawala...
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom