Professor Assad Asimulia alipokuwa

Mimi namuamini Prof.
Lakini najiuliza iweje watu wazito kama hao (Tz Muslim Professionals) kati ya maeneo yoote ya Kisarawe wakafanyie mkutano kwenye kijiji ambacho kinakosa network siku nzima?
Inamaanisha kijiji kama hicho umeme pia hakuna wala internet, wala wao wakitaka kupiga simu pia hawataweza (na mkutano ni wa siku 3 mfululizo ila prof kakaa siku 1 tu)
Ina maana hawana hela ya kufanyia kwenye kumbi zoote Kisarawe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamechagua eneo ambalo lina utulivu ukizingatia ni kipindi cha siku kuu, lakini kwa nini msikubali ushauri wangu tafuteni hao members wa tampro.. mpate uhakika
 
Wamechagua eneo ambalo lina utulivu ukizingatia ni kipindi cha siku kuu, lakini kwa nini msikubali ushauri wangu tafuteni hao members wa tampro.. mpate uhakika

Tufanye hivi hajatekwa, lakini mjiulize tumefikaje hapa kwenye kutokuaminiana. Haya ndio mazingira mliyoyatengeneza na mmeshaumiza sana watu wasiowasujudia, ni vyema muache maana wasiowasujudia hawatakaa wawasujudie.
 
Ruge CYM,
Yule siku hizi ni bi. Haambiliki. Kidogo tu mtandaoni. Badala ya yeye kudhibiti matumizi ya mtandao, yeye mitandao ndiyo inamdhibiti.
 
Vijana mliobarehe juzi tembeeni basi msibaki kujifungia vyumbani kugombea dressing table na dada zenu! Huku vichwani mkifikiri tz nzima iko kama huko buguruni kwenu mliko.

Hivi una Habari kama hii Ilala tu kuna sehemu ukifika hupatikani siku nzima?

Sent using Jamii Forums mobile app

Jumapili nilikuwa Chanika. Nikawa nakuwa hewani on n off. Mpaka wife akasema, we unanini na simu yako?
 
Lipo JF ndio sababu tunajadili


Lingekuwa linawahusu wenye akili pekee sie Vilaza lisingetufikia

Prof Kakanusha kutekwa sasa nyie Habari hii mliiibua wapi?
Kwa hali ilivyo katika nchi hii hatuwezi kupata ukweli toka kwa mhanga!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Katika Zama hizi ni rahisi Sana mtu kulishwa information hewa,Wala sio suala la kumcheka mtu
Je unakula huku umefumba macho? Imani yangu inaniambia kitu huanza kuvutia macho kwanza, halafu upate hamu kukila. Fikiria upewe mende kwenye sahani utamla tu?
 
Siku zote Prof.anaongea kisomi,lazma tuwe na hofu naye ni mwalimu wetu na mtu muhimu sana.Alichikiongea kina maana kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
NI kweli. NImesikiliza clip inaonekana prof anasema mengi ambayo wengi wanaojadili hapa hawayajali. ametumia lugha ya mafumbo. hii inaonesha kwamba kuna kitu kimetokea. na inaonekana hata nyumbani kwake walikuwa wanamtafuta hawampati. na inaonekana hili tukio halikuwa la kawaida.
 
Back
Top Bottom