Professor Assad Asimulia alipokuwa

Ukishakutekwa unaambiwa nini cha kusema. Hili suala la kuwa hakuna network linaninitia shaka kubwa. Mtu responsible na family man kama Prof Assad atakaaje kuanzia asubuhi mpaka usiku asipige simu nyumbani kuulizia wanaendeleaje? It doesnt make sense at all!

Labda neno kutekwa ni axaggeration lakini tuseme alitakiwa kwa mahojiano fulani!
 
Kwa uzushi na umbea wake mh. Rais angemwita zitto ikulu amrushe kichura toka getini ilebarabara yote alotembea yule rafkiake alipoenda kuomba radhi akaheeema na kitambi chake.... akifika anaswe vibao kadhaa alafu atimuliwe ikulu.
 
Back
Top Bottom