Profesa Wangari Maathai afariki

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Yule mwanaharakat wa mazingira nchini kenya profesa Maathai amefariki dunia,kama mnakumbuka mama huyu aliwah kupokea tuzo ya nobel ya utunzaj wa mazingira
sosi:bbc swahil
 
Poleni sana wafiwa kwa msiba mzito!
Kazi ya Mungu haina makosa
 
she was also one of the 1st women proffesors from nrb university. this is a major setback to environmental activists in kenya. she fought very hard to save the environment from the hungry sharks! she will be remembered! why dont good and usefull people dont last longer?
 
R.I.P. Prof. Kinachonitia moyo ni kwamba michango yako duniani hasa katika eneo la mazingira haitakufa bali itaishi vizazi hata vizazi. Siku zote nimekuwa nikikumbuka one of your famous quotes "The problem is the generation that destroys the environment does not pay the price for doing that, its the generations that follow"
Amen!
 
DSC_1226.JPG R.I.P pro
 
I met this lady once. It was at her reception right after she got the prize. She was down to earth and took time to talk to everybody there.
May she R.I.P
 
Ningependa kujua zaidi je amefariki kwa ugonjwa au kwa tatizo gani kwani hivi majuzi tu alikuwa mzima wa afya
 
Back
Top Bottom