Profesa Tolly Mbwette na Profesa Elifasi Bisanda wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania (CKHT)---out.ac.tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Profesa Tolly Mbwette na Profesa Elifasi Bisanda wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania (CKHT)---out.ac.tz

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SolarPower, Apr 8, 2011.

 1. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hebu Uelezeni kwa Kina Umma Wa Watanzania, ni Muujiza Gani Mlioutumia na Kumuweza Mama Anne Kilango Malecela Kupata Digrii ya Chuo Kikuu Chenu Wakati Alikuwa Amefeli Somo Moja?
   
 2. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Tulitumia muujiza wa ela...
   
 3. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amepewa digrii ya u- radical bungeni!
   
 4. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Amepewa upendeleo kwa kuwa nyumba yake ipo jirani na Chuo
   
 5. magessa78

  magessa78 JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  amepewa digrii kwa kuwa mumewe ni mkuu wa chuo hicho!
   
 6. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hahaaaa...watu wachokonozi............

  nakumbuka kuna wakati alikuwa Dom anapigwa QM na dogo mmoja alieunganishwa deal hilo kutoka chuo fulani (sio university) hapo Dom ambae QM yenyewe ilimlambisha full mi-supp.....
   
 7. R

  Rangi 2 Senior Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Alifeli somo gani hilo?
   
 8. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Mi nlipigiwa simu na prof. Bisanda akanieleza kama muhas na udom wanatoa phd za promoshen, ya nini tumbanie mama kwa ajili ya kasomo kamoja? Na mi nkakaa na kuona kwanini mi prof.Mbwete nimg'ang'anie mama kwani ntapata hasara gani nkitoe ka digrii kamoja bure? Tukamwandikia trascript mama!
   
 9. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  WEWE ndo ulimfelisha, hayo ni majungu,umbea na wivu,ukiambiwa ulete ushahidi unaweza, acha kuwasemea vibaya Mbwette na bisanda wasingewezza kukubali huo upuuzi hata kidogo
   
 10. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ushaidi ni wa wazi kupita kiasi. Hawa watu lazima wawajibike na hili wanalijua vizuri tuu.
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wewe inaonyesha ulimfelisha ili kumkomoa wamepitia wamekuta ulimfelisha kwa kinoko wameamua kumka mdigrii wake.
   
 12. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunakuomba uwashauri waweke hadharani kila kitu kama uyasemayo ni kweli. Wahariri wa Vyombo vya Habari fuatilieni suala hili kwa undani na kuueleza umma.
   
 13. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  .....wakiwezeshwa wanaweza
   
 14. N

  Nansawa Senior Member

  #14
  Aug 3, 2013
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wake wa wenye nchi, eti tunu pinda nae ana bba, bonge la kilaza. Tena matokeo yao wanayachukuliaga kwa mbwete. Cm inapigwa kwa mwl leta matokeo yaliyo mazuri. Unategemea nini?
   
 15. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2013
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Walistandadaizi matokeo
   
Loading...