Tumia akili
Member
- Apr 1, 2013
- 66
- 1,165
- Thread starter
- #21
Unajua watu wengine wanaonyesha uwezo mdogo sana wa kufikiria. Wanachama wote wapya huwa wanaombwa kuingia kwenye chama fulani, wakati wa kampeni mgombea pia anaomba kupigiwa kura pia, sio kulazimisha ni KUOMBA, hata Obama alikuwa anaomba watu wampigie kura
Hakuna mtu anayeombwa kuwa mwanachama, watu wanaelezwa sera za chama halafu wanaona kama wanakubaliana nazo. Hapa huyu profesa kajiunga baada ya kuombwa na mbaya zaidi akaweka condition ya kujiunga. Wewe ndio unaonesha huwezi kutumia akili yako vizuri.