Profesa Ndalichako: Bodi ya Mikopo (HESLB) ijiandae kuwalipa Wanafunzi wa Elimu ya Juu wakati wowote

The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
7,442
10,233
Wakuu Salaam;

20200518_165657_rmscr-1.jpg

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameitaka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kujiandaa kulipa wanafunzi wakati wowote vyuo vitakapofunguliwa.

Stay Safe.
 
kabisaaaa...
Sio wanafunzi wakashindie mahindi ya kuchoma, ukiwauliza eti hamu...
Sasa hamu ndio ule matatu kwa siku? halafu unakula kwa kujificha, mwingine anapukuchua kabisa atie kwenye begi ale kama karanga,
Unashangaa mtu mnaangaliana kakaza uso, macho hayoo, kumbe anameza punje kavu.
 
Ni wewe mwenyewe kabisaaa
 
Back
Top Bottom