Rayz of Diamond
Member
- Oct 27, 2010
- 77
- 9
Nimefuatilia MAHOJIANO LIVE RADIO 1/ITV NA MWANDOSYA mda si mrefu walikuwa wanaongea nae (Profesa Mark Mwandosya) kwa njia ya Simu anasema anaendelea vizuri tofauti na hali aliyokuwa nayo wakati anapelekwa huko India na bado yupo Hospitali....anaamini atarudi nyumbani TZ mda si mrefu...waliozusha leo kuwa amekufa si kweli....baso yupo Hospitali kutokana na ushauri wa Madkari lakini hali yake si mbaya kwa sasa..