Profesa mwandosya akana kufa....

Oct 27, 2010
77
9
Nimefuatilia MAHOJIANO LIVE RADIO 1/ITV NA MWANDOSYA mda si mrefu walikuwa wanaongea nae (Profesa Mark Mwandosya) kwa njia ya Simu anasema anaendelea vizuri tofauti na hali aliyokuwa nayo wakati anapelekwa huko India na bado yupo Hospitali....anaamini atarudi nyumbani TZ mda si mrefu...waliozusha leo kuwa amekufa si kweli....baso yupo Hospitali kutokana na ushauri wa Madkari lakini hali yake si mbaya kwa sasa..
 
Amesema kuwa kuwathibitishia WaTZ kwamba yupo ok, leo amesoma Kitabu chenye zaidi ya Kurasa 100!!!
 
And do we still need him to be our waziri. Kwa nini muda wote asiwe ameshastep down mtu mwingine ateuliwe kuwa waziri mahali pake. Maamuzi ya kiwizara anayafanyia akiwa kitandani
Na still analipwa mshahara kama waziri wakati hana utendaji
Najua yupo naibu na katibu wa wizara ila kama waziri nafasi yake na kiti bado kipo na analipwa mshahara na marupurupu hata kama ni nusu mshahara kwa kazi ambazo hajafanya
 
Nimefuatilia MAHOJIANO LIVE RADIO 1/ITV NA MWANDOSYA mda si mrefu walikuwa wanaongea nae (Profesa Mark Mwandosya) kwa njia ya Simu anasema anaendelea vizuri tofauti na hali aliyokuwa nayo wakati anapelekwa huko India na bado yupo Hospitali....anaamini atarudi nyumbani TZ mda si mrefu...waliozusha leo kuwa amekufa si kweli....baso yupo Hospitali kutokana na ushauri wa Madkari lakini hali yake si mbaya kwa sasa..
Amekana kufa?Ina maana unaweza kufa na wakati huo huo bado ukawa mzima ili ukane kuwa hujafa?Hii lugha yetu bana!Ni heri tu ungesema "Mwandosya ni mzima" Halafu maybe "Azungumza na ITV kwa simu akiwa hospitali." Otherwise unaposema amekana kufa,basi inaonekana kama vile kifo na uzima vinaweza ku coexist at the same time on the same person.Something that is next to impossible.
 
Duuuuh bongo bana full uzushi. Mwandosya kumzushia kuna faida gani wakati yupo mzima jamani!
 
Mleta mada umenichekesha eti "... akana kifo". Mtu akifa hawezizuka na kukana kifo!
 
Wapiganaji wote kutoka Mbeya halizao kiafya si nzuri inaonekana kuna jambo hapo! Nakutakia Afya njema Prof. Mwandosya na Dr Mwakyembe mpate nafuu mapema mrudi kuendeleza ujenzi wa taifa hili Changa!!!(lenye nusu karne)
 
And do we still need him to be our waziri. Kwa nini muda wote asiwe ameshastep down mtu mwingine ateuliwe kuwa waziri mahali pake. Maamuzi ya kiwizara anayafanyia akiwa kitandani
Na still analipwa mshahara kama waziri wakati hana utendaji
Najua yupo naibu na katibu wa wizara ila kama waziri nafasi yake na kiti bado kipo na analipwa mshahara na marupurupu hata kama ni nusu mshahara kwa kazi ambazo hajafanya

Hatuombi afe mzee wetu Mwandosya..tunachoomba atwambie kiti cha Ubunge ameachia kutokana na afya yake ili tuingie kazini kupambana maana sasa hivi kila kinachoodoka CCM lazima wajue kuwa kazi wanayo ni lelemama kama enzi zile.....
 
And do we still need him to be our waziri. Kwa nini muda wote asiwe ameshastep down mtu mwingine ateuliwe kuwa waziri mahali pake. Maamuzi ya kiwizara anayafanyia akiwa kitandani
Na still analipwa mshahara kama waziri wakati hana utendaji
Najua yupo naibu na katibu wa wizara ila kama waziri nafasi yake na kiti bado kipo na analipwa mshahara na marupurupu hata kama ni nusu mshahara kwa kazi ambazo hajafanya

Mr Rocky your just piece of shit,sheria za ajira na utaratibu wa kiserikali he deserve to be taken care off,kama mtunza ofisi anatibiwa na mwajiri wake seuse waziri!
 
And do we still need him to be our waziri. Kwa nini muda wote asiwe ameshastep down mtu mwingine ateuliwe kuwa waziri mahali pake. Maamuzi ya kiwizara anayafanyia akiwa kitandani
Na still analipwa mshahara kama waziri wakati hana utendaji
Najua yupo naibu na katibu wa wizara ila kama waziri nafasi yake na kiti bado kipo na analipwa mshahara na marupurupu hata kama ni nusu mshahara kwa kazi ambazo hajafanya

Hapo unapotoka, unataka mtu akiugua afukuzwe kazi?, asilipwe mshahara?, mbona hata hao ambao hawaumwi hawafanyi kazi wanashinda hewani kama popo na wanalipwa?,

Ku-Stepdown ni sawa kama atashauriwa na madaktari kuwa hawezi kuendelea na majukumu kwa ufanisi, kuna utaratibu wake!,

Tunawajali wagonjwa, ndio maana hata hao wanaoanguka majukwaani bado tunawapa muda wa kutumika! (kwa maslahi ya nani.. usiniulize)
 
Amenifurahisha aliposema kuwa wanaomwombea kifo watashindwa zidi ya wale wanaomwombea uhai
Na akamalizia iyo njia ni ya kila mtu very busarafull manake angekuwa mwengine angeanza kuwaka akina nani wananiombea kifo na kufungua kesi pia
 
And do we still need him to be our waziri. Kwa nini muda wote asiwe ameshastep down mtu mwingine ateuliwe kuwa waziri mahali pake. Maamuzi ya kiwizara anayafanyia akiwa kitandani
Na still analipwa mshahara kama waziri wakati hana utendaji
Najua yupo naibu na katibu wa wizara ila kama waziri nafasi yake na kiti bado kipo na analipwa mshahara na marupurupu hata kama ni nusu mshahara kwa kazi ambazo hajafanya

kwa hiyo wewe unamthamini mtu akiwa mzima,akipata matatizo hususan ya afya ndo hakufai tena??acha izo si vizuri.
 
TZ bado ujinga unatusumbua wa kujadili internal affair ya watu wakati hujui jioni utakula nini
 
And do we still need him to be our waziri. Kwa nini muda wote asiwe ameshastep down mtu mwingine ateuliwe kuwa waziri mahali pake. Maamuzi ya kiwizara anayafanyia akiwa kitandani
Na still analipwa mshahara kama waziri wakati hana utendaji
Najua yupo naibu na katibu wa wizara ila kama waziri nafasi yake na kiti bado kipo na analipwa mshahara na marupurupu hata kama ni nusu mshahara kwa kazi ambazo hajafanya
nchi hii inaendeshwa katika missingi ya utawala bora inayofuata sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma na sio kufuata akili zako wewe ambazo hazikutoshi. nenda kasome standing order utaelewa vizuri. kila mtumishi wa umma ana haki zake, MW Atatakiwa kujiuzulu under medical background pale tu madaktari watakapothibitisha kuwa ugonjwa aliyonao hawezi kupona au hata kama akipona athari za ugonjwa zitamfanya ashindwe kuyamuda majukumu yake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom