Profesa Mussa Assad: Natamani mahojiano yangu na Kamati ya Bunge yangewekwa wazi ili watanzania waujue ukweli

Kwa maelezo ya CAG yanamtazamo tofauti, inawezekana majibu yaliyotolewa bungeni na kamati kuhusu mahojiano yao siyo sahihi, kwenye kikao cha kamati walihoji mambo mengine na majibu yakatoka kulingana na maswali, lakini inaonekana ripoti iliyowasilishwa bungeni ni nyingine.

Bunge liamue kuweka wazi tu hiyo ripoti ili wananchi waisome wawe na imani na hilo bunge

Kwa muelekeo wa sasa bila kutishana ni ukweli bila kuficha wananchi wengi hawana imani na bunge, zaidi wananchi wanasubiri kufanyiwa/kuamuliwa na wanayoyataka wenye nchi.

Ni kheri anaezungumza kwamba umemuumiza utajua ni namna gani ya kujiweka sawa bila athari, kuliko mwenye kunyamaza anavumilia maumivu ya kuumizwa, mwisho wake ni mmoja wapo kuangamia zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwi
 
Back
Top Bottom