Profesa Mukandala kushindwa kutamka neno Wahafidhina nini tatizo?

Nafikiri watz labda tujaribu zaidi, kuelekeza nguvu zetu nyingi kwenye issues ambazo ni 'objective' 'kwa maendeleo, na jinsi ya kutatua changamoto than kuwa 'too subjective' tumechelewa sana.
Hapo ndio akili ya mtz ilipolala Ni ngumu kujikwamua kiuchumi km tunatumia muda na akili nyingi kudeal na sujective issues

Nyuzi nyingi humu jf Ni za kujadili watu badala ya kuwa innovatives ktk technical na economical agendas.
 
Wachangiaji wengi kwenye mada hii ni utopolo! Kwa nini tunalazimisha kutomwelewa mleta mada? Anacholalamikia ni mazoea ya Watanzania kuwazodoa wanaoshindwa kutamka maneno ya Kiingereza huku tukiwaacha wanaoshindwa Kiswahili! Mliona Mh. Jiwe aiposhindwa kusema "Front Page " na kusema "Font Fed" na pia aliposhindwa kutamka "Entrepreneurship". Mapeji na Mapeji yalijaa hapa JF na kule twittani! Hapo ndipo hoja ya mleta mada ilipojificha "kwa nini tuwabeze wa Kiingereza na kuwapotezea wa Kiswahili?"
Kiswahili nilikisoma au kufundishwa tangu darasa la tatu mpaka kidato cha nne, sikuwahi kukutana na neno hili. Ila nilimshangaa rais kushindwa na maneno ambayo tangu shule ya msingi yamekuwa yakijirudiarudia.
 
Back
Top Bottom