mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,730
Baada ya hali ya udhamini kuwa ngumu na kushauriwa atafute political base kwanza . Aliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo atagombea Ubunge kupitia CCM Musoma vijijini na Nimrod Mkono atagombea Butiama.
Mchambuzi wa tetesi hizi alipojaribu kuzungumza na msemaji wake bwana Elias Mabuba Alikiri kuwa "ni kweli Muhongo hana misingi ya kisiasa kabisa, imebidi tuingie kwenye u Rais kutafuta foundation ya political base ili agombee ubunge.
Jimbo La Musoma Vijijini ndipo alipozaliwa na kukulia Musoma Mjini na baadae kuhamia Ujerumani na South Africa hadi alipoteuliwa Kuja kuwa waziri wa nishati na madini.
Anakuja kuwa waziri Tena ili kumaliza ahadi alizoacha huko nyuma.
Tukutane October.