Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,774
kwa hiyo, kutokana na ushiriki wake, alitakiwa atumbuliwe!!1. Septemba 28 / 2016 alishiriki kikao kilichoshauri mabadiliko ya bei ya umeme kilichowashirikisha Tanesco na Benki ya dunia .
2. Septemba 30 /2016 aliiarifu kwa barua Wizara ya Fedha kuhusu uamuzi na mpango kazi uliofikiwa katika kikao hicho .
3. Desemba 30 / 2016 Ewura inatangaza bei mpya za umeme huku ikipandisha kwa 8.5%.
4. Desemba 31 / 2016 anasitisha uamuzi wa Ewura wa kupandisha bei ya umeme KWA MADAI KWAMBA HAKUSHIRIKISHWA.
5. Rais John Magufuli anatengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco , Felchesmi Mramba.
Chanzo - Mwananchi