Profesa Muhongo aiagiza TANESCO kutokata umeme bila sababu za msingi

Tena hiki kitengo cha emergency ndo kimekubuhu kwa rushwa. Ikitokea mtaani kwenu kuna shoti ya nguzo ama transfoma hamtarudishiwa huduma mpaka wapewe chochote, mnapiga simu na hawaji hata wakija wanajifanya hawana vifaa, yaani ni wanyanyasaji kupita kiasi. Prof. tunaomba uanze na kitengo hiki ukifumue fumue chote
 
Aweke mikakati awape wakishindwa ndio aanze maswali. . . . . .Kama wanakata umeme bila sababu awatimue kazi na wenye nguvu ya Rais amuachie Rais
 
Mwambie afanye ziara ya kushitukiza hapa mwanza saa hii aje aone giza tororo
 
Aanze na wale waliokuwa wanafungulia maji Mtera. Profesa Muhongo safisha Tanesco. Pale ulipoachia anzia hapohapo.
 
Muhongo alikuwa anapiga kazi tena freshi tuu..... but wanamtandao...... wa mstaafu ndo walimponza. wait uone jamaa atavopiga kazi chini ya JPM mtakubali mziki wake
 
Safi sana prof wetu tunakupenda. Tunakuomba utuwekee sawa hill shirika letu.
 
Sasa hapa kazi tu mlingoti chuma na bendera chuma safi sana muhongo twende kazi sasa mafisadi wataisoma tu.
 
Hivi na Ponbe naye si alisema anawajua wahandisi wanaofungulia Maji kule Mtera? Siku 30 tuu keshawasahau?
 
Back
Top Bottom