Profesa Muhongo ahojiwa na kamati maalum ya Spika Ndugai

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
upload_2017-9-5_9-35-28.jpeg
 
Hamna lolote kick tu...nchi hii wanafungwaga wezi wa kuku.

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hii geresha tu, hakuna kitu hapo. Tusubiri majibu kama yatatoka. Nchi hii wasanii ni wengi.
 
Nimeona kichwa habari kamili bado,mwenye naye atuwekee hapa!

Speaker Ndugai aliiagiza kamati ya Madini ya Bunge ichunguze biashara ya madini ya dhahabu na almasi.

Kamati ilihoji watu akiwemo aliyekuwa waziri wa wizara ya nishati na madini, Simbachawene. Alipoitwa Prof. Muhongo, aligoma kwenda kuhojiwa. Ndipo Speaker akaagiza Polisi imkamate na kumpeleka akahojiwe. Walifanikiwa na wakamuhoji.
 
Atakua anaendelea kuamini kwamba maprfesa ni miunguwatu hawakamatiki

Ninashangaa hawakamatwi wanasiasa ambao wamechezea rasilimali zetu
 
Hata kama ninhekuwa ni mimi ningegoma kwenda huko kuhojiwa.
Kwa sababu hakuna maana yoyote kwa sasa na hakuna manufaa yoyote zaidi ya spika kujipendekeza kwa Sizonje.

Kuna wakati Profesa Muhongo anakuwaga na Akili timamu, kama hili la kugoma kujipeleka kuhojiwa na watu wenye Akili fupi fupi.
 
Back
Top Bottom