Profesa Mkilaha ajipiga risasi bahati mbaya na kufa wakati akisafisha bastola yake

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
IMG-20160625-WA0017.jpg

Prof. Mkilaha wa Engineering UDSM (Director General, Atomic Energy in Arusha and Chairman of SUMATRA Board of Directors) amejipiga risasi kwa bahati mbaya wakati akisafisha pistol yake akiwa nyumbani kwake Dar na kufariki.

Mungu amlaze mahali pema peponi!!

RIP PROF.
 
Back
Top Bottom