Profesa Maji Marefu akisikiliza kero za mpiga kura wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Profesa Maji Marefu akisikiliza kero za mpiga kura wake

Discussion in 'Jamii Photos' started by EMT, Mar 23, 2011.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani maarufu kama Profesa Maji Marefu (kulia), akisikiliza kero za mpigakura wake ambaye ni mlemavu wa miguu, Baturi Mussa (40), mkazi wa Kijiji cha Dindira wakati wa ziara yake jimboni humo hivi karibuni.
   
 2. m

  maselef JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyu ni maji mafupi tu. Darasa la nne haliwezi kukufanya professor
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Siasa ni mchezo mchafu.
  hapo anajidai yupo makini kumsikiliza.
   
 4. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Baada ya kuona anapigwa picha anasikiliza kwa makini utafikiri kweli.
   
 5. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Siulewi huu msemo "kusikiliza kero" hivi wakati anagombea hakuwa anazijua..? Huu ni wakati wa kutenda acheni kupoteza muda afu baada ya miaka mitano mrudi na "...nipeni kipindi kingine ili nimalizie mikakati yangu.." Wananchi ni wakati wa kuchagua viongozi watakaotatua kero zetu na sio wanaosikiliza tu...
   
 6. Double X

  Double X Senior Member

  #6
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hana lolote hapo, hao ni wale wale tumeshaazoea CCM.
   
 7. Antonov 225

  Antonov 225 JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hii ni picha anaiandaa kwa ajili ya uchaguzi wa 2015 kama alivyofanya baba yake Kikwete zile tulizoona. eti anasikililza wazee mara anajali watoto , anapenda michezo n.k upuuzi mtupu
   
 8. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  DUU NIMECHEKA MPAKA MACHOZI YANATOKA NA HUYO BATULI NDIO YUPI?duuu.,..J.F mnaelekea pabaya sasa
   
 9. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 426
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hii picha iliingia kisha ikabadirika? Siielewi! Profesa ni yupi hapo?
   
 10. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Hapa hata mimi nimeshindwa kuelewa.... is this 'a picturial joke?'
   
Loading...