Profesa Lipumba: Viatu vya Hayati Magufuli ni special, kila mtu aliufyata

Kuna muda najiuliza hivi prof Ni mwanaume kweli!?, mzee anatabia za kike kweli huyu.
 
Porapesa Lipumbu aufyate tuu kwani zama za kupewa mshiko kuiua CUF hairudi tena mlipaji Kesha kufa
 
Kuna muda najiuliza hivi prof Ni mwanaume kweli!?, mzee anatabia za kike kweli huyu.
Lipumba ni mwanaume ila bunduki yake haina risasi. Hana mtoto wa kuzaa ila alioa mke wa mtu mwenye mtoto wake.
 
Kwenye mhadhara wa kudai katiba mpya ulioandaliwa na chama cha wananchi leo wajumbe wamesema lazima kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025 twende na katiba mpya na wamemtaka rais Samia kuachana na mambo ya hayati Magufuli kwani hatayaweza.

Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema kiatu cha marehemu Magufuli ni special na hamna wa kuvivaa kwani alikuwa kidume kwelikweli na kila mtu aliufyata na kuogopa kabisa.

Lipumba amesema kwa sababu ya hofu hiyo kuna baadhi ya maprofesa wazima walifikia hatua ya kusema wametolewa jalalani.


Ujinga tu
 
Back
Top Bottom