CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
Kwanza,Rais aondoe zuio la mikutano ya hadhara ya vyama vya Upindani.
Hili litatoa fursa kwa vyama vyote kufikisha sera na itikadi zao kwa wananchi katika kutafuta kuungwa mkono na hivyo kupelekea mazingira tambarare ya Kufanya siasa kwa vyama vyote .
Sheria ya vyama inahitaji vyama vyote viwe na rejesta ya wanachama na viongozi katika ngazi zote za Chama.
Utekelezaji wa kipengele hiki Cha Sheria unahitaji uhamasishaji kupata wanachama na uhakiki wa wanachama katika ngazi zote.
Uhuru wa vyama kukutana na kufanya mikutano ya hadhara ni muhimu katika utekelezaji wa matakwa ya Sheria ya vyama Vyama vya Siasa Sura 258