Profesa Kitila Mkumbo: Waziri Ndalichako hana mamlaka ya kupanga sifa za kujiunga na chuo kikuu

Kakutuma...mwambie anaharibu elimu tu...bora hata shukuru kawambwa. Jk alikuwa smart kumuondoa pale baraza sababu ikiwa ni ubishi na ujuaji.. Mhe Rais mtoe huyu mama atakuharibia nchi na elimu..anavyosimamia hata havieleweki..!
Pole mkuu kumbe nawewe ni mmoja wa wahanga? Hapa no shortcut fuateni kanuni
 
Mimi sitamani....mpaka tutakopokuwa na dira kama nchi ili kila kiongozi asije na maamuzi yake binafsi......
 
Huyu Ndalichako wanasema ni muha wa Kigoma, isije kuwa ni raia wa burundi au rwanda aliehamia Kigoma amepanga kuharibu elimu yetu kama yul marehemu aliepata kushika uwaziri wa elimu awamu ile akafanya sarakasi kwenye elimu juzi hapa ndio tukaambiwa na mkulu kuwa ni Mtu wa Kenya, nae kaja na sarakasi yake.
 
Back
Top Bottom