Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 7,895
- 21,297
Sio kweli barabara zote za two way zinafanana upana.Ukweli Moro road ni nyembaba sana..
Sio kweli barabara zote za two way zinafanana upana.Ukweli Moro road ni nyembaba sana..
Halafu wenye malori wafanyeje Malori yao? Wayapaki?Sambamba na hilo, kukamilika kwa SGR Dar - Mwanza na Tabora - Kigoma na kuja kuendeshwa vema kutachangia kupunguza sana idadi ya malori katika barabara hizo. Ilimradi SGR haitaendeshwa kihasara hasara kama TRC na Tazara.
Tulio na malori 500+ tutayafanyia nini ikiwa SGR itakamilika ndugu!!??Sambamba na hilo, kukamilika kwa SGR Dar - Mwanza na Tabora - Kigoma na kuja kuendeshwa vema kutachangia kupunguza sana idadi ya malori katika barabara hizo. Ilimradi SGR haitaendeshwa kihasara hasara kama TRC na Tazara.
Yakisafirishwa kwa njia ya reli je wenye magari ya mizigo wakabebe nini?
Kama lengo ni kupunguza ama kuiondosha ajali ingelifaa wajikite kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa chanzo Cha tatizo barabara T1.
MkuuHalafu wenye malori wafanyeje Malori yao? Wayapaki?
🤣🤣🤣🤣🤣 .......nilikuwa natoa tu tahafhari mkuu manake haohao wenye malori na mabasi ndo waliohakikisha treni za mizigo na abiria zinakuwa kaputi one for good.Mkuu
Ambako reli hazifiki mbona zipo sehemu nyingi tu.
Wapi na wapi zinafanana zoteSio kweli barabara zote za two way zinafanana upana.