Profesa Kitila Mkumbo: Bei za vifaa vya Ujenzi hazijapanda kwa wazalishaji labda wanaoongeza bei ni hawa Wasambazaji

Huyu naye ni Profesa kweli? Mbona anatia aibu hivi? Hivi unapopandisha kodi kwenye mafuta unategemea nini? unapoweka kodi kwenye bidhaa unategemea nini? Sasa hili nalo linahitaji ucuhunguzi kweli jamani?
 
Kwahiyo maduka yote Dar es salaam wamiliki wote wa maduka ya vifaa vya ujenzi wamekuliana waongeze bei za bidhaa zao?
Sh eeenz taipu
 
Atachunguza nini na atamchungza nani ni siri ambayo wewe na mimi hatujui, na kama baada ya uchunguzi huo tutapewa majibu au itabaki kuwa siri yake kama moto wa soko la kariakoo ulivyobaki kuwa siri ya waziri mkuu, hakuna ajuaye.

View attachment 2023283

Chanzo : ITV
Its very unfortunate the answers are on his desk. Asitudanganye hapa, kina vitu vingine ukivigusa automatically affects goods prices. Azungumze na jirani yake Waziri wa fedha.
 
Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila Mkumbo ametolea ufafanuzi taarifa zinazozagaa mitandaoni kwamba bei za Vifaa vya ujenzi zimepanda.

Kitila amesema viwandani ambako ndiko bidhaa zinakozalishwa bei hazijapanda ziko vile vile so kama kuna maeneo machache bei ziko juu basi itakuwa ni zinaongezwa na Wasambazaji isivyo halali.

View attachment 2022782
Umeme wenyewe haueleweki na mafuta kila siku yana panda so lazima vitu vipande.
 
Huyu naye ni Profesa kweli? Mbona anatia aibu hivi? Hivi unapopandisha kodi kwenye mafuta unategemea nini? unapoweka kodi kwenye bidhaa unategemea nini? Sasa hili nalo linahitaji ucuhunguzi kweli jamani?
Prof. wa education bro, mambo ya uchumi na biashara wapi na wapi hii ni bongoland. Just going circles as usual.
 
Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila Mkumbo ametolea ufafanuzi taarifa zinazozagaa mitandaoni kwamba bei za Vifaa vya ujenzi zimepanda.

Kitila amesema viwandani ambako ndiko bidhaa zinakozalishwa bei hazijapanda ziko vile vile so kama kuna maeneo machache bei ziko juu basi itakuwa ni zinaongezwa na Wasambazaji isivyo halali.

View attachment 2022782
Ahamie Umoja Party Ili wawe wanapamga bei wao..

Watu hawali vifaa vya ujenzi
 
Back
Top Bottom