Profesa Kabudi atembelea Ihumwa kukagua ujenzi wa ofisi za wizara ya katiba na sheria

kiwenini

Member
Nov 25, 2018
73
43
1544520690762.png

Profesa Kabudi atembelea Ihumwa kukagua ujenzi wa ofisi za wizara ya katiba na sheria
 
Naona anachekelea tu.. muda wa kula huu, Kabudi huyu sio yule wa Mabadiliko ya Katiba tena, Tena ukimkumbushia zile habari mnagombana kabisa...usicheze na tumbo bana
Bora wakakae machakani huko Na majoka , JIWE kaona juhudi kubwa za wakubwa waliomtangulia kuandaa miundombinu yote muhimu jijini Dar haikuwa Na maana , yeye ndio ana ana Akili kuliko wao
 
Naona anachekelea tu.. muda wa kula huu, Kabudi huyu sio yule wa Mabadiliko ya Katiba tena, Tena ukimkumbushia zile habari mnagombana kabisa...usicheze na tumbo bana
Kile kiapo alichokula Mbele ya Mh Rais wakiwa wamezungukwa na vyombo vya ulinzi na usalama unanikumbuka alisemaje?
Nitailinda na kuitukia katiba ya JMT.
 
View attachment 964163
Profesa Kabudi atembelea Ihumwa kukagua ujenzi wa ofisi za wizara ya katiba na sheria
Nikiwaona hawa wazee waliosomeshwa na Nyerere bure,wakapitishwa JKT,eti kujenga uzalendo,napata shida sana,sasa HV ni mwendo wa kula bata tu,hizi story kwamba ukipita JKT unakuwa mzalendo,ni story za abunuwasi tu,hata wanangu siwaambii hizi story,
 
Jamani sijui ni computer yangu imefuta hayo majengo? maana naona hapo watu wamesimama porini hakuna hata mtaro wa msingi
 
Hahahahaah jamani kila mmoja tumwache acheze na tumbo lake
Naona anachekelea tu.. muda wa kula huu, Kabudi huyu sio yule wa Mabadiliko ya Katiba tena, Tena ukimkumbushia zile habari mnagombana kabisa...usicheze na tumbo bana
 
Naona anachekelea tu.. muda wa kula huu, Kabudi huyu sio yule wa Mabadiliko ya Katiba tena, Tena ukimkumbushia zile habari mnagombana kabisa...usicheze na tumbo bana
Tena ukitaka akutumbulie macho huku povu likifoka mkumbushie swala la katiba mpya, mzee anakua mkali hapo utadhani umemgusa kende zake au jipu anaweza akakumeza.
Lakini hapo kuna jengo kweli? watakua wanaweka mitego kwenye njia za wanyama kama swala na digidigi wawanase.
 
Back
Top Bottom