TANZIA Profesa Jacob Mutabaji afariki dunia

Jinga sana hilo. Halafu vifo vingi vya wazee sijui alitaka waishi mpaka miaka mingapi
Hata anaelewa basi huyo, kanishangaza kweli et kifo cha mzee kama hivyo anahusisha na kuchelewa kwa chanjo! au anajua Wazee wetu wanaishi hadi miaka mia, huyo Mzee Mwinyi tu hapo tunaona ana umri mrefu sana.
 
Utadhani huko kwenye chanjo watu hawafi.
Hata anaelewa basi huyo, kanishangaza kweli et kifo cha mzee kama hivyo anahusisha na kuchelewa kwa chanjo! au anajua Wazee wetu wanaishi hadi miaka mia, huyo Mzee Mwinyi tu hapo tunaona ana umri mrefu sana.
 
Dunia inasafishwa kwa sababu tu ya upumbavu wetu.

What a shame?

We have made ourselves a laughing stock!

Kituko cha dunia.
IMG_20210222_071152.jpg
IMG_20210131_012103-1.jpg
IMG_20210218_094134.jpg
 
Utadhani huko kwenye chanjo watu hawafi.
Kuna uzi humu unazungumzia vifo vya watu waliyokufa kwa corona hali ya kuwa wameshapata dozi mbili za chanjo za corona, sasa cha kushangaza utetezi wao wanakwambia hao watu walikuwa na magonjwa yao mengine mara sijui walikuwa wazee sana sijui chanjo hazizuii kifo.

Sasa huyu jamaa anakuja na hoja ya kuchelewa chanjo ndio et sababu ya hivi vifo kana kwamba chanjo inazuia watu wasife na kibaya yeye bora hata angkuwa ana uhakika na sababu za hivyo vifo kuwa ni corona ila yeye anahusisha tu na corona vifo vya watu.
 

Ninasubiria miadi kupata haki yangu:


Cc: Kinyungu
 
Ninasubiria miadi kupata haki yangu:


Cc: Kinyungu
Hongera mzee !

Sisi wengine hatujatimiza vigezo kutokana muongozo wa Wizara ya Afya.

Ila itakapofika zamu yetu nitatimiza haki yangu !

Tulioguswa na corona na ambao bado tunaugulia machungu iliyotuachia hatutaki kucheza na corona !
 
Sorry, hivi hii hua ni lugha gani na ina maana gani mkuu?
Hiko ni kiarabu ambako kwa kiswahili inakuwa "Sisi sote ni waja wa Mungu na kwake tutarejea" na kwa lugha ya malkia ni "We all belongs to God and to him shall we return".Hapo nadhani nimekata kiu yako
 
Back
Top Bottom