Profesa Issa Shivji; Hapo Zamani na Sasa

Mwana Taaluma Profesa Issa Shivji anashangazwa na mabadiliko haya kwa yale yaliyofundishwa zamani na sasa. Jee tumepotea njia?
Kama tumepotea tunarudije njia kuu?View attachment 1219557
8w2
Mwana Taaluma Profesa Issa Shivji anashangazwa na mabadiliko haya kwa yale yaliyofundishwa zamani na sasa. Jee tumepotea njia?
Kama tumepotea tunarudije njia kuu?View attachment 1219557
Ni mwendo wa kulihumu taifa. Tuunganike kumpinga january makamba na waliyomteua. Hawana nia njema na mstakabali wa taifa. Wanaturufdisha miaka 6 iliyopita ambapo viongovi kazi kubwa ilikua kupiga hela ya umma.
 
Back
Top Bottom