Profesa Elifas Bisanda amemaliza kila Kitu kuhusu PT, JWTZ japo sijajua kwanini hajawataja na TISS ambako pia kuna Mapungufu kwa sasa

Ninachokijua tu ni Wewe Kukazwa nao sana.
Hakuna asiyejua tabia yako ya kuuza kalio zilizokomaa hapo kawe na wateja wako wakubwa ni wanajeshi, ngoja tukuandalie file lako wewe popoma uliyekosa malezi ya baba yako mzazi.
 
Hakuna asiyejua tabia yako ya kuuza kalio zilizokomaa hapo kawe na wateja wako wakubwa ni wanajeshi, ngoja tukuandalie file lako wewe popoma uliyekosa malezi ya baba yako mzazi.
Umeshahama katika hiyo Nyumba hapo iliyo jirani na Mtaro Mkubwa na Umeshalipa Kodi ili usije kutolewa Mizigo yako na hilo Kochi lako bovu, chafu na lililooza?

Ndiyo maana huyo Mpemba hapo Jirani anakukazia Mkeo ukiwa unawajibika jirani na Lugalo Golf Court. Pumbavu....!
 
Plato aliwahi kutenga watu katika makundi 3 kutokana na uwezo wao wa kiakili kama ifuatavyo:
1. Golden boys- Hawa ni akili nyingi na alisema wanafaa kuwa watawala.
2. Silver boys-Wako average ( Hapa ndo vyombo vya ulinzi vinaingia)
3. Iron boys-Hawa ni wale wanaotumia nguvu zaidi kuliko akili.

Hivyo Kwa kigezo Cha Plato prof hayuko perfect Sana.
 
Mightier umesoma maoni haya ya huyu member? Hata mimi nakubaliana naye kwa asilimia zote. Nitafafanua: Siyo kwamba nakataa huko polisi au jeshini wasiajiriwe watu wenye uwezo mzuri wa kielimu, la hasha. Wasiwasi uko kwenye namna hizo division one zinavyopatikana. Sasa hivi kuna mashindano makubwa kati ya shule na shule, na mwanafunzi vs mwanafunzi ya kupata pass nzuri kwenye mitihani. Hili limefanya shule na wanafunzi wengi wagundue ''short-cut'' za kila aina ili kupata vyeti vyenye ufaulu mzuri. Hivyo kuajiri kwa kigezo cha ''huyu ana cheti kizuri'' bila kumpima kwa namna nyingine tutakuwa hatujatatua tatizo. Hivyo mimi naungana na mdau Ultimate kuwa cheti kizuri kisiwe njia pekee ya kuamua. Siku hizi kuna njia nyingi mno za ku-test watu ili kujua uwezo wao. Tuchanganye njia mbali mbali.
naungana na wewe kuhusu hili.Ufaulu mzuri kwenye cheti kama ndio kigezo ubightness tutakuwa tuna jidanganya tena sana jambo ambalo naona nilamsingi ifanyike veting kuazia madarasa ya chini tunapo taka ku recruite watu wakada flani ambayo ni sensitive katika nchi vinginevyo tutakuwa tunajidanya .kufaulu mtihani mmoja wa mwisho kwa kupata one sio kigezo cha exceptional ability in learnig and reasoning kuliko waliopata div two au div three.
 
Kipindi tupo chuo kuna jamaa alikia anapata gpa ya 3.3, 3.4, 3.7 alikua anarange hapo kwenye mitihani ya mwisho, lkn tokea nieanza kusoma sijakutana na jamaa smart kama huyo alikuwa na uwezo wa kueleza hizi sijui financial policy monetary na mwenzie, alakua anafanya uchambuzi wa zile theory za economics alikuwa na uwezo wa kuongelea tukio la uchumi la hata mmika ya 1920 huko na natoa daza za kuaminika.

Huyu mtu alikua mzuri sana japo performance yake kwenye mitihani hii ya darasani ilikua sio kubwa sana. Lkn ukiangalia waliopata sijui first class hata kujieleza mtu hawezi wengi walisha zoea kumeza na kwenda kutapika kwenye exam room mtu unamuuliza unamaoni gani kwenye financial crisis iliyokea 2008 huko na nini kifanyike hawezi kujieleza. Kwa maoni yangu performance ya darasani isiwe kigezo namba moja huko tiss wajaribu ku tafuta njia nyingine
Kwa hiyo waendelee kuchukua div four na zero siyo??
 
Kwa hiyo waendelee kuchukua div four na zero siyo??
Naungana na jamaa

Ameshasema "watafute njia nyengine" hajasema "wachukue dvsn four"

Hao wenye first class vyuoni ndio wenye kadi za vyama huku wakiaminisha wengine "ukiwa na kadi y chama unapata kzi mapema baada ya masomo"
 
Prof kuwa Nafikira Kuwa division one ni the best ni Ujinga huo, Prof amesome ila hajaelemika kabisa Anasahau kuwa Elimu yetu iko based theoretically zaidi Na Kukariri Anasahau vitu kama Exposures, Afu pia kwa mshahara gani wa askari niacha kwenda chuo nikahenyeke uko??
 
Ukirundika wasomi watakimbia vifaru frontline, wasomi hasa maafisa ni muhimu ila siyo wapiganaji wote. Mabomu yaacheni jamani, wasomi hawataki kuvuja jasho, waoga sana, kuna wachache sana wanaoweza kashikashi za kimedani.

Polisi ndiyo inahitaji asilimia kubwa wawe na elimu kuanzia form six na degree nakuendelea, kwa sababu wanahitajika kuelimisha jamii na kusimamia sheria za nchi.
 
"Sasa ifike muda tuambiane Ukweli nashauri kuanzia sasa Watu wanaoajiriwa katika haya Majeshi yetu ya Polisi na Jeshi la Wananchi wawe ni wale tu waliofaulu kwa Division One Shuleni au First Class Degree Vyuo Vikuu na tuachane Kuajiri Failures katika hizi Taasisi kwani hawataweza Kusaidia kufanya Tafiti za Kisasa za Kijeshi, kuwa Wabunifu Kimedani na Kushindana na Wenzao wengine ambao wameshatuacha na huenda wanatushangaa pia", amesema Profesa Elifas Bisanda ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Vyuo Vikuu vya Polisi na Jeshi na pia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria.

Chanzo: Millard Ayo

Haya Wazandiki si huwa mnajifanya Kutuchukia na hata Kututishia akina Mightier na JamiiForums Great Thinkers tukisema haya? Sasa mchukieni basi na huyu Profesa Bisanda kwa huu Ukweli wake mtupu.

Japo wanaficha na Ushauri waliopewa katika Ziara zao huko nchini Rwanda, ila Wafuatiliaji wa Mambo magumu na mazito tumeambiwa kuwa hata IGP Sirro na CDF Mabeyo walipoenda (walipotembelea) Rwanda waliambiwa hivi hivi kuhusu Taasisi zao kama ambavyo Profesa Bisanda ameshauri.

Tanzania inahitaji Maprofesa Makini na very Intelligent kama huyu Elifas Bisanda na kwa haya Madini yake popote alipo (ulipo) Mightier nakuamkia Shikamoo na hakika ulistahili kuwa Profesa na umeupiga mwingi sana juu ya hili.
Labda division 1 ya miaka 80s or 90s si hii ninayo iona. Tusidanganyane. Wapi makazini lakini performance yao ni chini kabisa.
 
Nikikumbuka nilipoenda kwenye interview ya kujiunga na jeshi miaka kadhaa iliyopita nikaambulia kupigwa KOFI kubwa sana na mgongo kisha nikaambiwa.

“ dogo nenda chuo hapa tunataka form six wenye four hukuona tangazo??” nikapoa nikaanza kurudi home nimekuwa mnyoonge.
Hawakukupima njia kubwa?
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom