"Profesa" Bingu wa Mutharika

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,547
19,411
Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu huyu Profesa Bingu wa Mutharika. Nilipotafuta biography yake ninaona kama alisoma New Delhi India kipindia kimoja na Malecela akapata masters ya economics, baadaye akajiunga na "Mzumbe Group" ya miaka ya tisini kujipatia Ph.D ya Pacific Western Universty. Amefanya kazi sehemu mbalimbali ikiwamo serikali ya malawi chini ya Banda, UN, COMESA na baadaye kuingia tena kwenye siasa za Malawi hadi alipofanywa kuwa Rais wa Malawi na bwana Bakili Muluzi ambaye baadaye alijutia uamuzi wake wa kumwachoia madaraka jamaa huyu. Sina uhakika sawasawa na siasa za malawi hivyo ninategema kujifunza kwenye thread hii iwapo watatokea wachangiaji wanaojua siasa za malawi sawasawa. Nilichotaka kufahamu hapa ni chuo ambacho jamaa huyu alifundisha hadi kufikia kuwa profesa. Nimejaribu kutafuta publications zozote zenye authorship yake bila mafanikio zaid ya ripoti za kikazi alizoandika akiwa UN na COMESA. Je inawezekana ni kweli kuwa ugonjwa huu hauko Tanzania tu bali Afrika yote?
 
why should i care about where a Malawian president taught

especially a buffoon who puts his brother and wife on the cabinet
 
why should i care about where a Malawian president taught

especially a buffoon who puts his brother and wife on the cabinet

Mambo matatu; la kwanza ni hilo nililoweka kwenye bold hapo. Siamini kuwa Professor kamili anaweza kufanya B/S ya namna hiyo.

La pili ni kuwa mwenzio akinyolewa, wewe tia maji. Kulingana na track ya jamaa kuwa alipitia PWU, na sisi tunao wengi wa namna hiyo, kuna haja ya kumjua yeye vizuri zaid ili tujue namna ya kumtofautisha na PWUers wetu.

La tatu, ni huu ujirani wetu; jamaa anaweza kumwaga maji machafu yakachuruzika hadi mlangoni mwetu.
 
Sure, huyu jamaa inawezekana "wabaka uchumi walimpa tu ili wafanye vitu vyao" Jamaa wa magharibi wanatumia kila mbinu kuhakikisha wanatuibia kwa njia yeyote ile, I am also seraching for him nitatoa taarifa.
 
He was apparently awarded an honorary professorship in Economics by East China Normal University, "jamaa wa magharibi" had nothing to do with it.
 
Mambo matatu; la kwanza ni hilo nililoweka kwenye bold hapo. Siamini kuwa Professor kamili anaweza kufanya B/S ya namna hiyo.

La pili ni kuwa mwenzio akinyolewa, wewe tia maji. Kulingana na track ya jamaa kuwa alipitia PWU, na sisi tunao wengi wa namna hiyo, kuna haja ya kumjua yeye vizuri zaid ili tujue namna ya kumtofautisha na PWUers wetu.

La tatu, ni huu ujirani wetu; jamaa anaweza kumwaga maji machafu yakachuruzika hadi mlangoni mwetu.

Malawi arrest warning over flying old flags

_48753474_009944136-1.jpg

The president said the new flag shows Malawi's development 46 years after independence

_48758124_malawiflagscomposite_304afp.jpg

Malawi's old flag with a rising sun, left, is now out of official favour

He was apparently awarded an honorary professorship in Economics by East China Normal University, "jamaa wa magharibi" had nothing to do with it.

you must know that China is taking over Magharibi.

Wewe ulishasikia wapi rais wa nchi yoyote nyingine duniani au hata mtu mwingine yeyote akapewa kitu kicahoitwa honorary professorship kama siyo kuwa walijua waafrika wanapenda sana ujinga huo?
 
hiyo ya kumweka kaka yake na wife kwenye cabinet naona ni tatizo kubwa hapo,lakini unategemea nini kutoka kwa hawa Waafrica?
 
hiyo ya kumweka kaka yake na wife kwenye cabinet naona ni tatizo kubwa hapo,lakini unategemea nini kutoka kwa hawa Waafrica?

Mwanzo wa ngoma ni lele.............
...............baadaye atasema yeye ni Rais wa Maisha
 
you must know that China is taking over Magharibi.

Wewe ulishasikia wapi rais wa nchi yoyote nyingine duniani au hata mtu mwingine yeyote akapewa kitu kicahoitwa honorary professorship kama siyo kuwa walijua waafrika wanapenda sana ujinga huo?

Walishaona jinsi ya kumpata ni kuipiku "PhD" yake ya Pacific Western, basi wakamkorogea huo uprofesa wa heshima... but as we all know there is no free lunch...
 
why should i care about where a Malawian president taught

especially a buffoon who puts his brother and wife on the cabinet

Museveni syndrome inaenea polepole si ajabu ikaingia hata hapa kwetu TZ muda si mrefu
 
sijawahi kusikia honorary professorship? hii ni kali. Na kwa ujinga aliipokea?
 
Tena wala hakusubiri kuletewa kaifungia safari kabisa na mara baada ya kuipata tu picha zote rasmi za rais ilibidi zichapishwe upya na "cheo" cha Prof. Dr. Bingu wa Mutharika... Wakati viongozi wenzake wengine wala hawapigii parapanda shahada zao za heshima. Huyu jamaa upeo mdogo...

Nimepekenyua google kidogo tu nikakuta huyu bwana kumbe kaanza siku nyingi huyu bwana na anafahamu fika kuwa hiyo "PhD" yake ya Pacific Western ni feki akatembeza rupia kupata angalau nyingine ya heshima kuifunika hiyo ya PWU.

Kwa habari zaidi: Mutharika bribed to get honorary degree
 
Mutharika ni kihiyo wa siku nyingi,Hii inajulikana nchini Malawi.Ila kaka yake ni msomi mzuri wa uhakika,nafikiri alikuwa anafundisha Law huku States.

Africa ni africa
 
Back
Top Bottom