Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

ukitaka kujua uelewa wa watanzania wengi ni katika hoja ambazo wao hawa pendi kuzisikia alafu ndio zina letwa kwao wazi sikie...

hapo utaona uwezo wao wa kuchambua na uchangiaji...

Hahahahahaha Maisha na unafiki...!
 
Siamini kama Prof Assad anaweza kufanya hili. Kama kweli alijinufaisha kwa kujipatia nyumba za NSSF akiwa mjumbe wa Bodi basi hilo analo na ikiwa ni kweli hana budi kuijsafisha. Ukiwa CAG hutakiwi kuwa na waa lolote. Asijikaushe atoke akanushe ama ajitose kulinda heshima yake.
Nyumba za NSSF haziuzwi kwa mnada,toka zinaanza kujengwa kila nyumba inakuwa imeshapangiwa gharama zake!!!
 
Profesa assad akiwa mjumbe wa board ya nssf miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya board ya uwekezaji ya nssf (MIC) Alijinufaisha ktk kununua nyumba za nssf huko tanga bila kujali conflict of interest, nyumba hizo zilizouzwa pia kuna mkurugenzi mmoja wa nssf bwana kidula ambaye nae alikuwa mwenyekiti wa tender board ya management ya nssf nae alijitwalia nyumba kadhaa za tanga na dodoma.Katika kipindi cha Dau nssf mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue, mfano nyumba za kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao. Kwa mfano kuna mtoto wa profesa mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko nssf alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa.Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakaz wa nssf lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
huyo ndo assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau nssf ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Mmeanza Figisu zenu kuna wengine walinunulia nyumba mahawara zao sasa mkyafukua hayo makaburi mjipange kuziba pua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkimaliza hili mtueleze ni kwa nini Bibie KABULA na Mdogo wa Magufuli wanamiliki nyumba zilizokuwa za serikali na kuuzwa kinyemela na Magufuli 1994 wakati hawakuwa watumishi wa serikali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Profesa assad akiwa mjumbe wa board ya nssf miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya board ya uwekezaji ya nssf (MIC) Alijinufaisha ktk kununua nyumba za nssf huko tanga bila kujali conflict of interest, nyumba hizo zilizouzwa pia kuna mkurugenzi mmoja wa nssf bwana kidula ambaye nae alikuwa mwenyekiti wa tender board ya management ya nssf nae alijitwalia nyumba kadhaa za tanga na dodoma.Katika kipindi cha Dau nssf mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue, mfano nyumba za kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao. Kwa mfano kuna mtoto wa profesa mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko nssf alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa.Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakaz wa nssf lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
huyo ndo assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau nssf ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
We kama si andunje Ndugai, utakuwa ni mkolomije unaetumiwa na Ndugai kumchafua Pfofesa anaejitambua ndg. Assad, ulikuwa wapi kabla ya yeye kuwataja kuwa mu-dhaifu.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndg, kwa sheria za kuwa board member una declare conflict of interest huwez kununua mali ambazo zikiwa na shida utatetea kwa kuwa nawe ni mnufaika.

ILA 1.5TRILION TUNAZITAKA
Nyumba hizo huwa haziuzwi kwa mnada,nyumba tokea inachorwa ramani,gharama yake inakuwa inajulikana!
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.

Tatizo lipo wapi kwa Assad kuuziwa nyumba? watu waliuziwa nyumba za serikali itakuwa hizo nyumba za NSSF ambazo zilijengwa ili ziuzwe kwa wanainchi na Assad akiwa mmojawapo waliokuwa na mahitaji?
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Kama kufukua makaburi,waliouza nyumba za serikali na kuwapa mpaka vimada wao nao wawajibishwe!
 
Weka huo utaratibu hapa uliamuliwa lini na nani na uweke idadi ya nyumba alizonunua Assad na ushahidi wa kujitosheleza kuhusu nyumba husika unazozizungumzia. Vinginevyo ni UZUSHI.

Pia tujue walinunua kina nani na dini zao. Bila kuleta hizi data hapa hii ni post ya kizushi, kwanza hstuna uhakika hata kama ina ukweli wowote, lete pia nyaraka zake za manunuzi.
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Labda mkuu tuanze kwa kueleweshana kidogo, nini maana ya mgongano wa kimaslahi (conflict of interest). Hivi kununua bidhaa kutoka kwenye kampuni au taasis unayofanyia kazi au kuiongoza kunapelekea mgongano wa kimaslahi!?
Kwa hiyo kwa mfano leo Ali Mufuruki ambae ni Board chair wa Vodacom akitumia line ya vodacom atakuwa na mgingano wa kimaslahi!? Au mtu kama DG wa NSSF ambae pia ni mjumbe wa Board ya Watumishi Housing, akinunua nyumba za WHC kama wateja wengine pia atakuwa na mgongano wa kimaslahi katika hiyo transaction? Pia kwa nini hii hoja yako umeileta wakati huu!!!? Je, unajua Prof. Assad amekuwa CAG lini!? Umewahi kupitia reports zake kuhusu huo mfuko tangu amekuwa CAG mpaka sasa ili uweze kujenga basis zako!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nyumba syo za umma bali nssf nasheria hazimruhusu kama board member ajihusishe kwa namna yoyote kununua mali ambazo yeye ni member,pia hiyo haiondoi ukweli wa bunge kuwa dhaifu, ila tu na yeye ni dhaifu alishindwa kumdhibiti dau
Mkuu tunaomba utusaidie hiyo ni sheria gani ili tuweze kujifunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Mnahangaika bure,kununua nyumba sio dhambi,mkapa,na hat Mkuu aliopo alishanunua nyumba akiwa na dhamana
 
tuanze ku deal na yaliyotangulia kwanza halafu tutarudi kwenye hili lililotokea baadae. by the time tunafika suala lako hapo juu, tayari kuna watu watakuwa wanaozea Segerea / Ukonga.

1. uuzwaji kinyemela nyumba za serekali
2. ununuaji wa kivuko kivu (Bagamoyo)
!
!
3. suala la uzi huu
4. upotevu wa 1.5tr
5. miradi isiyopata idhini ya bunge (Chato airport, etc)
 
Za nssf ni za kuuza ila yeye alitumia madaraka yakuwa board member which is agsinst na utaratibu.hapo kuna conflict of intesest hakupaswa kununua kwa kuinfluence price au hata uuzaji maana zilipaswa ziuzwe kwa open tendering
Ili kuinyesha hamuendeshwi na hisia, ni vizuri mkatoa na ushahidi kuwa ali-influence price za nyumba. Kitu muhimu cha kujua ni kuwa zile nyumba zinapojengwa ni kwa ajili ya uwekezaji and not otherwise si kuziuza haraka ni moja ya criteria muhimu kwenye viability ya investment.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom