Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,401
- 92,742
Nilikuwa sijui kama Tanzania inaongozwa kwa sharia!! asante kwa taarifa.Kisharia zenu alitakiwa kuwasilisha ni waziri wa Mambo ya nje na mahusiano ya kimataifa. Kwani yeye ana mamlaka kisheria kuwakilisha mambo ya muungano katika shughuli za mahusiano ya kimataifa.
Tibaijuka amevunja sharia hapo. Na ndipo tunapodai lazima awajibishwe na kujiuzuru