Prof. Tibaijuka akanusha kumiliki Viwanja Kigamboni

Taarifa. Sina plot hata moja Kigamboni. Mwenye ushahidi tofauti aulete. Viwanja vya Kisota ni mali ya ushirika wa wanawake wa nyumba. Viwanja hivyo walipewa na Waziri wa Ardhi aliyenitangulia Mhe John Chiligati. Mimi wakati huo nikiwa UNHABITAT.

Jambo moja linalonishangaza na kunisikitisha. Vijana mnaotakiwa kuwa na elimu na mori wa kujadili mambo/jambo ambalo kimsingi ni zuri. Kwa nini kabla ya kuandika msiyoyajua vizuri hamuendi kwenye sehemu husika kufanya utafiti kidogo? Chairman Mao alisema no research no right to speak. Ukienda Wizara ya Ardhi watakwambia viwanja husika vya Kisota ni vya nani. Lakini uzembe! Mtu anakaa tu kwenye kiti chake anaandika mambo ya kashfa bila hata uchunguzi wowote. Jirekebisheni. Dhambi hizo mbele ya Mwenyezi Mungu kuna siku zitawatafuna. Basi sasa umejua ukweli. Nendeni kawajulishe wananchi unaodai wanadhani viwanja ni vyangu. Si kweli. Mama T
inawezekana kweli hicho chiwanja sio chake, na inawezekana kiwanja kinamilikiwa na mtu jina lake la ukoo ni TIBAIJUKA, na inawezekana ni ukoo mmoja na PROF.A.TIBAIJUKA au ni mtoto wake au mdogo wake au ndugu wa karibu inawezekana wavuta uzi wamekurupuka, kwa kumpakazia na kumpaka masizi PROF. ili naye aonekane mweusi, pole sana profesa kwa kukurupukiwa
 
hahahaha kanusho basi atueleze viwanja hivyo ni vya nani kwasababu yeye alikuwa Ardhi.

swissme
Viwanja vya Kisota ni mali ya ushirika wa wanawake na nyumba. Viwanja hivyo walipewa na Waziri wa Ardhi aliyenitangulia Mhe John Chiligati. Mimi wakati huo nikiwa UNHABITAT.
 
Ulisha nitoka kitambo sana, kwasababu wezi wanajulikana na walio bambikiziwa wanajulikana, kama wezi wenyewe hawata guswa, kuletaa kelele hakuna maana
Tutajie basi mkuu hao wezi wa Escrow, watu wengi wanapita humu, inaweza kusaidia kuwakamata hao wezi walioachwa
 
Viwanja vya Kisota ni mali ya ushirika wa wanawake na nyumba. Viwanja hivyo walipewa na Waziri wa Ardhi aliyenitangulia Mhe John Chiligati. Mimi wakati huo nikiwa UNHABITAT.
nyoosha maelezo bado hamjatufunga macho.

swissme
 
Taarifa. Sina plot hata moja Kigamboni. Mwenye ushahidi tofauti aulete. Viwanja vya Kisota ni mali ya ushirika wa wanawake wa nyumba. Viwanja hivyo walipewa na Waziri wa Ardhi aliyenitangulia Mhe John Chiligati. Mimi wakati huo nikiwa UNHABITAT niliwasaidia wanawake hao kuunda ushirika wao.

Jambo moja linalonishangaza na kunisikitisha. Vijana mnaotakiwa kuwa na elimu na mori wa kujadili mambo jambo ambalo kimsingi ni zuri. Kwa nini kabla ya kuandika msiyoyajua vizuri hamuendi kwenye sehemu husika kufanya utafiti kidogo? Chairman Mao alisema no research no right to speak. Ukienda Wizara ya Ardhi watakwambia viwanja husika vya Kisota ni vya nani. Lakini uzembe! Mtu anakaa tu kwenye kiti chake anaandika mambo ya kashfa bila hata uchunguzi wowote. Jirekebisheni. Dhambi hizo mbele ya Mwenyezi Mungu kuna siku zitawatafuna. Basi sasa umejua ukweli. Nendeni kawajulishe wananchi unaodai wanadhani viwanja ni vyangu. Si kweli. Mama T
 
Lazima akane tu lakini huyu mama anatajwa kumiliki viwanja sehemu mbali mbali.. Kigamboni, Mabwepande, Kibamba na huko Bukoba.
Kwanza viwanja vingi huwa hawaandiki majina yao ndio mana anakanusha hapa.
 
Hizi simu zimetengeneza wambea ..na umbea umegeuka dili kwa wapenda umbea na wavivu, na sasa nchi yetu inaharibika kwa kasi sana kwa roho za kwanini na fitina

Pole sana mama T kwa kuandamwa na wambeya wa mitandaoni
 
Anachokwambia ni....TOA USHAHIDI SIO MNAONGEA TU BILA EVIDENCE,ni kma kwa Lowassa Chadema wanasema kma kuna USHAHIDI wampeleke mahakamani la kma hauna SHUT UP...
 
Hizi simu zimetengeneza wambea ..na umbea umegeuka dili kwa wapenda umbea na wavivu, na sasa nchi yetu inaharibika kwa kasi sana kwa roho za kwanini na fitina

Pole sana mama T kwa kuandamwa na wambeya wa mitandaoni
Nimependa hiyo para ya kwanza, well said.
 
Taarifa. Sina plot hata moja Kigamboni. Mwenye ushahidi tofauti aulete. Viwanja vya Kisota ni mali ya ushirika wa wanawake wa nyumba. Viwanja hivyo walipewa na Waziri wa Ardhi aliyenitangulia Mhe John Chiligati. Mimi wakati huo nikiwa UNHABITAT niliwasaidia wanawake hao kuunda ushirika wao.

Jambo moja linalonishangaza na kunisikitisha. Vijana mnaotakiwa kuwa na elimu na mori wa kujadili mambo jambo ambalo kimsingi ni zuri. Kwa nini kabla ya kuandika msiyoyajua vizuri hamuendi kwenye sehemu husika kufanya utafiti kidogo? Chairman Mao alisema no research no right to speak. Ukienda Wizara ya Ardhi watakwambia viwanja husika vya Kisota ni vya nani. Lakini uzembe! Mtu anakaa tu kwenye kiti chake anaandika mambo ya kashfa bila hata uchunguzi wowote. Jirekebisheni. Dhambi hizo mbele ya Mwenyezi Mungu kuna siku zitawatafuna. Basi sasa umejua ukweli. Nendeni kawajulishe wananchi unaodai wanadhani viwanja ni vyangu. Si kweli. Mama T
Mbona mnamwekea maneno mdomoni?? mwambie aje mwenyewe kukana..wewe Marangu ndio sekretari wake?? isitoshe yeye mbona ni member hapa. Tuletee hiyo sosi ya habari yako..
 
Nimefurahi kuwa Mama Tibaijuka amejitokeza kujibu kuhusu viwanja vya Kisotha

nampongeza kwa kujibu natumaini atajibu tuhuma zingine mbali mbali zinazo mhusu

Kuhusu viwanja vya kisotha ukweli ni kwamba viwanja vipo kama alivyo kiri
na havijaendelezwa na kuhusu huo umoja wa wanawake....wizara ndo itajua ukweli ni upi

Thread yangu ilikuwa ni kutaka kujua ukweli na sio kuhukumu...
i hope nimesaidia kitu
 
Kama vijana hamtawasikiliza viongozi wetu tutabaki tu maskini. Kila kiongozi ni fisadi ukiambiwa ulete ushaidi huna. Ili ni tatizo tanzania
 
Hela ya mboga tunakujua fika wewe ni mama wa Deal na Muongo na Team yenu nzima wazee wa Escrow ila mnakubalika na mtukufu hivyohivyo tu.
 
Sema Prof T,lkb Watanzania hasa Viongozi wamezoea kukanusha Ukweli,Angalia. Uchumi,Madawa,Maisha kwq jumla lkn tunaambiwa kila kitu kiko sawa......tumezoea kudanganywa....Ngoja tusome namba.
Mama Pesa ya Mboga toka lini akasema ukweli?yeye ni kukanusha tu kila kukicha,mama pesa ya mboga mara huku ,mara kule na kwanini awe yeye tu Mama pesa ya mboga na si wengine?
 
Back
Top Bottom